Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
nataka kujiunga na hiki chama
Lady doctor nshakwambia roho yangu inaelekea kukudondokea,mbona huelewi?
bora!! khaa
nopi salama ila kakako sosoliso anavyonifanya...........mhhhh
babe Paloma jamani mbona unaleta hapa hadharani..? Wakuda kibao hapa akina Bujibuji hawakawii kuanza nyimbo na ngonjera zao.. Dada yangu Heaven on earth ongea na wifi yako.. Muambie ya ndani yanaishia ndani lol..
sosoliso, Paloma hanifichi kitu, mambo ya nyumba yenu kwangu yako wazi kama mtu anayeoga kwenye uwanja wa mpirababe Paloma jamani mbona unaleta hapa hadharani..? Wakuda kibao hapa akina Bujibuji hawakawii kuanza nyimbo na ngonjera zao.. Dada yangu Heaven on earth ongea na wifi yako.. Muambie ya ndani yanaishia ndani lol..
Mke wangu kashfa hizo ohooo..