Gamba ndiyo nini?Nawe pia ni gamba?
Umefanya vizuri kumjibu Vichazi, kuna watu ni wanafiki sana na wanatia kichefuchefuThats exactly my point. Chadema hawana offer mpya kwa wananchi ndio maana makundi wanayoyavuta ni hayo niliyoyasema.
Kuhusu thread kufungwa usiwe na shaka mkuu. Thread hii HAITAFUNGWA na wala mleta thread HATAPIGWA BAN.
Baati mzuri chama hicho ( CDM ) kwetu wana pwani tumekidharau. Tunakiona sio mkombozi wetu, ajenda yao ni ileile "zidumu fikra za mwelimu" wakitaka waamini ninacho kisema waangalie mahudhurio ya mikutano yao katika mikoa yote ya pwani na kusini.
Iko siku mtajua ukweli na itakuwa too late kwani mtakuwa mmeishachangishwa sana kwenye M4CZe Marcopollo , Kwani wewe ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CDM ? HOJA zako ni ndefu sana lakini hazina uzito wowote ! Ni muendelezo wa zile siasa zenu za maji taka , umejidhihirisha namna ulivyojaa dharau , kwa kuwaita baadhi kwa jina la WAFUATA UPEPO Maana hawajitambui siyo ! Kwa sisi wengine tunaoifahamu kidogo afya ya binadamu tunaamini kwamba , yeyote anayedhani anafahamu mambo fulani zaidi kuliko wengine basi bila shaka ana matatizo ya akili ! Umekosea sana kwamba kilichomtoa kisandu ni tamaa ya vyeo bali kilichomtoa Mwampamba ni kujitambua ! Very poor analysis !
Mkuu ZeMarcopolo naona umetiririka. Sasa tuone hoja kinzani na siyo vioja. Hivi mtu unakuja na hoja kama hii badala ya watu kutoa hoja kinzani mtu anaishia kusema umelipwa kiasi gani! Mtu kama huyui kama hana utapia hoja ni nini?
Uchambuzi huu wa Marcopolo unatakiwa ujibiwe kwa hoja si vioja. Hizi ni chambuzi fikirizi.
CHADEMA ni chama kinachoendeshwa kwa misingi ya ulaghai.
10. Wadau wanajiuliza chama hicho cha siasa kinataka nini Tanzania mpaka kikipinge chama kilichoasisiwa na wapigania Uhuru na kutaka chadema iingie madarakani? Ikumbukwe kuwa muasisi wa CHADEMA Mzee Mtei, alikataa kushiriki harakati za kupigania uhuru na pia alikataa kujitolea kuijenga nchi baada ya Uhuru.
11. Hesabu za pesa zinazochangwa na walalahoi kwa ajili ya M4C imekuwa ni jambo la siri kubwa ndani ya CHADEMA.
Nawe pia ni gamba?
Ukiangalia takwimu ulizoziweka hapo juu kwenye nyekundu ni sawa na 8+% ya siku zote kwa mwaka.Hata hiyo bado sio ishu, ishu ni kwamba kama wao wanataka kuwa tofauti na wa CCM wangetuambia kwamba hizi pesa wanazozilipwa za jimbo SIYO halali yao kwa maana wanalipwa ili wawe Ofisini karibu na Wananchi wao Jimboni, na ndio maana ya Mbunge kuwa na Ofisi na sio vinginevyo, sasa Wabunge wa CCM wamekuwa wakitudhulumu miaka yote, wengine miaka 5 hawajawahi kukanyaga Jimboni, na Wapinzani nao hivyo siku ukimuona basi labda Raisi anakuja Jimboni kwake sasa tofauti iko wapi?
Pili kulibadilisha hilo hauhitaji sijui kusubiri sera mpya ya CHADEMA ya Majimbo, ni swala la uamuzi tu, ambao unaweza kufanyika hata leo wakiamua, kwani hata ukiweka Majimbo bado Magavana watakuwa wanaishi Sinza au Kinyerezi, lkn ofisi zao ziko Majimboni.
Tatu hata kama hata kama inabidi waje Dar kushughulikia mambo fulani inaeleweka lkn sio ktk siku 365 ni siku 30 tu ndio wako Ofisini, hilo halina utetezi!
Mwisho mimi sio mwanachama wa Chama chochote bado, ninatoa maoni tu kulingana najinsi ninavyoona!
ZeMarcopolo..umeiweka vizuri sana.tunaweza kua tumeichoka CCM na ufisadi na udhaufu mwingine wa kiuongozi, lakini CDM siyo mbadala wa CCM kwa kutuonyesha madudu hayo ndani ya uchanga wao kama chama cha kitaifa.
washabiki au dillusional supporters of CHADEMA, I should correctly put it that way wanaamini CDM itamaliza matatizo yote ya Tz-elimu, umaskini, afya, ufisadi, maji safi, miundombinu wengi wamezibwa akili na fikra na chuki za watawala waliopo wanashindwa kuuliza CDM na kuangalia udhaifu mkubwa huu wa CDM ikiwemo mambo ya demokrasia ya ndani na ufisadi wao, kutokua wawazi katika maamuzi yao na mengineo uliyoyaonyesha kwenye thread.
Hawa vipofu wanashindwa kujiuliza Je CDM watahitaji kukuza pato la taifa kwa asilimia ngapi na ndani ya muda gani na kwa njia zipi haswa(kwa sababu ukisema tu tukusanye zaidi kodi ndani ya uchumi mwembamba kama wetu haitotosha, ukisema uongeze kodi kwa wawekjezaji haitotosha, ukisema kuokoa tu hela kutokana namatumizi ya v8 na ukubwa wa serikali na yenyewe haitotosha kupata fungu la kufanya yote wanayoamini hawa blind followers wa CDM na hapo unaitaji kukuza uchumi na hii inachukua muda na mikakati mahsusi ambayo sijawahi isikia kwa CDM).
Je hawa CDM wenyewe ni wanasiasa wanaotumia siasa au wanaharakati wanaotumia siasa na baada yha hapo hawataitaji siasa na (mabaya yote yanayoambatana na siasa ikiwemo rushwa) kung'ang;ania madaraka na kujiongezea nguvu huku wakijenga gap kati yao na wananchi? kwanza sijasikia wakisema watawachukulia hatua gani mafisadi wakubwa walioharibu hili taifa na kuna dalili zote wana dine and wine na mafisadi hawa nyuma ya pazia. huu ni uvugu vugu na siyo mapinduzi kama ambavyo sisi wengi tunavyotaka. na historia ya vyama vya upinzani Afrika ni hii hii ya kufeli kuleta mabadiliko, wapinzani wakiingia wanakua mabwana wakubwa wapya na kazi imeisha.
CDM wangekubali kama wenyewe ni wansiasa tu wanaotaka kujaribu uongozi na kuongoza nchi kutokana na dira yao, ambayo haiko tofauti na ya CCM anyway. lakini huku kujifanya na kuwaaminisha wafuasi wao kua wenyewe ni political saints bent on delevering salvation to the long suffering tanzanias ni uongo nisioweza kuuamini mtu kama mimi mwenye akili kidogo za kufikiria.