chadema imejaa wachaga wa kariakoo akili yao ni biashara tu.hawana mpango wa kwenda ikulu ile ni vicoba ya wachaga kwanza chris lukos alikosea njia,tenda wasimpe.mrema,lema.mtei.mbowe,ndesa,lymo,matei, wakupe wewe.shimboni
Kumbe!!!!!!!!!!???!!! Sasa sisi wazaramo
Wazaramo endeleeni kucheza ngoma ya mafiga matatu.
Kifupi huna hoja! Umepoteza muda wako bure kuandika.
Kifupi huna hoja! Umepoteza muda wako bure kuandika.
Hahah mwenzio hapo kaona kamwaga mapoint ya kufa mtu. Tena kaomba na msaada kwa balozi wa nyumba kumi.
Haya kachukue chako Lumumba
wakati mwingine pia ujipime na alama ulizokuwa ukipata kwenye mitihani yako.Maana ni pumba.
Ona sasa maskini ulivyo mbulula kwahiyo tuhuma za facebook zimekupa right to speak hapa Jf!
Sijui kwanini hii dhambi ya ufisadi ipo kila kona!!! Sielewi chanzo!! Mnisaidie jamii forum
Kuna uchagga wa kujiandikisha. Karibu Moshi.
Njoo Lumumba uchukue buku 7 kwa kazi nzuri
Hahah afu anatumia jina lake halisi. kweli div 5 muhimu sana.