Chama cha Kilaghai Tanzania...

Walioua watu Arusha kwa risasi,kumteka Ulimboka ni Chadema..ama kweli magamba mnatufanya wa Ngumbaru
chama kikifika hatua hii basi ujue ndiyo kimeshaingia kizani. sijui ya yule mkenya wa kichina aliyemtesa ulimboka imefikia wapi? wasije wakaja na edited single kwamba alitumwa na CDM, tutasikia mengi come 2015.
 
hakuna jipya hapo mbona ccm ni wezi wakubwa hujasema richmond ni nini ,pesa zilizoko SWIS huzungumzii ,na dhani na wewe ni mmoja wapo , iko siku mtajibu tuhuma zote
 
Kimbunga

12th March 2013 18:37
JF Platinum Member
Array


Join Date : 4th October 2007
Posts : 7,172
Rep Power : 6098
Likes Received2885
Likes Given981​


[h=2]
Re: Chama cha Kilaghai Tanzania...[/h]

By Mu-Israeli

Chama chenye ulaghai kiko huku.....Mengine yote ni political diversions za kusahaulisha wa-Tanzania kuhusu ahadi zao.
Tembelea
Hizi ndizo Zilikuwa Ahadi za JK: Nape tuambie zimetekelezwa ngapi?

ZeMarcopolo njoo ujibu hoja za 'ulaghai' huku.

Copy:
Kimbunga



1 Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
5.Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
9.Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
21. Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
24.Kujenga bandari Kasanga � Rukwa
25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani � Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
31.Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
33.Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
36.Kulinda haki za walemavu - Makete
37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
38. Kujenga barabara Musoma � Mto wa Mbu Arusha - Arusha
39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma � Kaliua,Tabora
41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
43. Kuwafidia wanakijiji ng�ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha � Arusha mjini
46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti � Ngorongoro
49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
58. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
59.Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
61. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
62. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
63. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) � Ruvuma
64. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania � Ruvuma
65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
66.Mtwara kuwa mji wa Viwanda � Mtwara
67. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
68. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
69. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha

Hizo kwenye red naona zimetekelezwa! Kumbe JK ametekeleza nyingi na anaendelea kutekeleza wakati anakombelezea urais wake.​



mkuu na hizi nani anatakiwa kufatilia na kutekeleza?
1. kurudisha wale twiga{nembo ya taifa} toka ughaibuni
2. kulinda tembo.... wasiuawe
3. kufatilia yale mahela ya uswisi
4. kurudisha pesa za epa
5. kupunguza kasi ya deni la taifa, juzi nimeambiwa mimi mwenyewe nadaiwa laki 6
jamani hapa nimetoa povu mnisamehe kwa kuingilia, anayetoa povu kama mimi aendelee kwenye list


 
Mkuu ZeMarcopolo nimesoma mada yako lakini nimebaki na maswali mengi zaidi kukuhusu wewe binafsi,daktari wa binadamu kwa taaluma,mtu msomi kwa viwango vya Tanzania,kuanzisha mada za propaganda za kipuuzi badala ya kujikita kuanzisha mijadala muhimu kwa ustawi wa taifa letu!
 
Chadema wekeni wazi matumizi ya ruzuku na michango ya M4C mliowachangisha walalaoi.

Viongozi wa Chadema mmekwenda China kutengeneza pikipiki za Chadema kwa bei za kutisha mmekataa kuwafahamisha Wananchi gharama za pikipiki.

Uliiona hii:

@TUNTEMEKE

Watanzania Dr.slaa na Mwenyekiti wa chama cha chadema wamefanya lebo ya pikipiki kwa gharama za TSh:Million 1 kila lebo nje ya kununua pikipiki husika,Je huu si ufisadi?.Kampuni iliyopewa tenda ni co-neccted na mwasisi wa chama.
 
hivi kwa nini moderator hajaweka kabutton kakudislike kwenye JF?? Please, think about that!
 
Kwanza nakupa pole umesoma hujaelimika.Pili muda ulioutumia hapa ungeenda Bugando,Muhimbili au hata Milembe ungesaidia wagonjwa wengi.Udoctor wako ni hasara sana kwa taifa na familia yako,nakushauri uombe kazi ya nape ili kufundisha uachane nayo.Jingine ni kuwa unasumbuliwa na umasikini ,njaa na kukosa uzalendo.Ukiona mtu aliyeenda shule anapotosha ujue njaa ya maisha inamsumbua.
 
Bahati nzuri wananchi wameshawashtukia...

Kwanza nakupa pole umesoma hujaelimika.Pili muda ulioutumia hapa ungeenda Bugando,Muhimbili au hata Milembe ungesaidia wagonjwa wengi.Udoctor wako ni hasara sana kwa taifa na familia yako,nakushauri uombe kazi ya nape ili kufundisha uachane nayo.Jingine ni kuwa unasumbuliwa na umasikini ,njaa na kukosa uzalendo.Ukiona mtu aliyeenda shule anapotosha ujue njaa ya maisha inamsumbua.
 
Hata wewe ni mlaghai miaka 50 mpaka mtoto anakuwa mtu mzima unamlaghai imefika mwisho bado hamjaona moto
 

Get saved quickly!!!!!
 
wewe ni mlaghaiwa...
 
Mkuu Zemarcopolo,

Pamoja na kutumia muda wako mwingi kuleta mada hii lakini nafikiri hizi ni za zile njaa za buku saba ndiyo zinakupelekea kuandika yote hayo. Huwezi kuni convince mimi juu ya hayo uliyo andika even though mimi sio pro CDM lakini nina akili timamu ya kufikiri. Hivyo hakuna hoja yeyote ya kujibu zaidi ya kukushauri utumie muda wako vizuri kufanya mambo ya maedeleo. WaTanzania wa leo siyo Wadanganyika wa jana!
 
yaani wewe ukifungua tu mdomo, tayari unasikitisha. Hivi unaishi nchi tunayoishi sisi? au upo nchi ya Magamba? Nta-assumu unaishi nchi yetu; nakukumbusha tu kwamba tuna katiba inayompa Lema haki sawa ya kuwa kwenye nafasi alokuwa nayo. Ukiwa kwa Magamba nyie ni posho tu. Hamjui chochote.
Umonitor? acha utoto basi...inaonekana ndo umetoka shule. Ngoja nisipoteze muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…