Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,948
Tatizo makamanda kila kitu wao hutoka povu tu , wanachotaka hapa uje na uzi kama vileHuu uzi umejaa hoja za msingi ambazo zinaitaji majibu ya kisomi kuliko porojo.
ZeMarcopolo wewe ndie una dalili zote za kuumwa ugonjwa wa kufuata upepo, kipindupindu cha uongo na uzandiki dhidi ya CDM na Kichocho cha hofu juu ya nini atakachowafanya kiongozi wa CDM akiingia madarakani!!
Mbinu hizi za kufarijiana haziwasaidii, mie mtumishi wa umma niko kijijini, hapa kijijini sie watumishi wa umma wote tunaiunga mkono CDM wanakijiji ndio usiseme! unaongea nini wewe mtu mdogo!
Mkuu naona umeongea kinyume, ingekua ccm wapo tofauti na unavyoelezea leo Lowassa,Chenge,kinana na wengineo Wangekua nje ya siasa za ccm.
Huu uzi umejaa hoja za msingi ambazo zinaitaji majibu ya kisomi kuliko porojo.
Kwa kukariri matukio haujambo. Hata hivyo imethibitika bila ya shaka kuwa wahusika karibu wote wa kinachoitwa ufisadi ni ndugu wa wanacdm kama sio kabila moja na au ni dini moja au raia wamoja.
Huu uzi umejaa hoja za msingi ambazo zinaitaji majibu ya kisomi kuliko porojo.
Ni kweli kabisa mkuu,
Pia ni jukumu letu kuwafumbua macho vijana wenzetu wasije ingia kusiko
Tujifunze nini kutika kwako sasa!!!!!!
Kila uchwao unatuabisha Vijana wa Ki Tanzania UK kwa Tabia zako.
Na ukibisha ntazianika
:msela:mkuu zeMarcopolo tunashukuru kwa taarifa yako nzuri,kweli umejitahidi kuonyesha mapungufu ya CDM ambayo hatukufahamu kabla,ila kitu kimoja tu umetuacha njia panda hasa sisi tusiofungamana na chama chochote cha siasa nchini lakini niwapiga kura wazuri sana kipindi cha uchaguzi,Tatizo kwenye report yako imejaa mapungufu ya CDM na misifa kibao kwa CHAMA CHA MAJAMBAZI bila kutoa solution kwamba kifanyike wakati nchi bado inaendelea kuangamia kila siku
mkuu nafikiri umetumwa na CCM kuja kuanika maovu ya CHADEMA,Nakushauri siku nyingine unapokuja kupost kitu uwe umekamilika sio kutuacha njia panda kama vile una jazba sana
Ni kweli kabisa mkuu,
Pia ni jukumu letu kuwafumbua macho vijana wenzetu wasije ingia kusiko
Hivi wewe jamaa upo sawa kichwani kweli??Why unaendekeza ujinga kiasi hicho??? ZeMarcopolo naona nitaanza kukuignore sasa maana sidhani kama upstair kuna something sio bure kabisa, ufisadi wote huu wa CCM still unaona CHADEMA chama cha ulaghai my bad....
kumbe ni mbeba box mwenye tamaa ya tenda ahaaaaaaaaa !!! Huu Uzi haufaiTatizo makamanda kila kitu wao hutoka povu tu , wanachotaka hapa uje na uzi kama vile
Kmanda fulani afuni nyomi.....nk
Halafu utaratibu wenyewe wa kumteua consultant eti achague wabunge wa viti maalum sio kabisa! Naamini kwa kuwa cdm ni tumaini la vijana wengi Tanzania hawatarudia mtindo huu wa kiimla kabisa! Naamini watakuwa wamejifunza na kosa walilofanya.
Insemekana katiba ya chama haielekezi jinsi ya kuteua wabunge wa viti maalumu ni matumaini yangu suala la katiba litafanyiwa marekebisho jadidi ili mfumo mzima uwe na uwazi.