Chama cha conservative cha Cameroon na CHADEMA


yaani ujinga ni kitu kibaya sana, unajiumbua mwenyewe kwa ku google, huelewi hata hiyo tafsiri maana yake ni nini?

kwanini mlikimbia shule

rudi katafute mkalimani akutafsirie maana ya hiyo meaning by wikipedia

this is total ignorance pamoja na uzuzu
 
achana na punguan huyu... Hopeles kabisa, Zero. Ana ropoka tuu cjui anadhan kuna mazuzu 2 humu km yeye...
Naona wewe unafuata mkumbo tu ndio tatizo la CDM-Kata, unaambiwa Uingereza hakuna katiba ulivyokuwa pumba unakubali tu, kisa kasema magwanda mwenzako
 
Cameroon ajatoa sharti ka ilo,hizo ni tetesi zimekuzwa kakiri.
 
obama kabla hajapewa nchi alieleza msimamo wake au wa chama chake juu ya ndoa za jinsia moja, na alitekeleza ahadi zake, jee chadema? jee dk slaa? hili ni swala muhimu hapa ndio tuna wajengea maadili vizazi vya kesho
 
hayo magari,pikipiki hadi baiskeli ulizipokea wewe?
 
obama kabla hajapewa nchi alieleza msimamo wake au wa chama chake juu ya ndoa za jinsia moja, na alitekeleza ahadi zake, jee chadema? jee dk slaa? hili ni swala muhimu hapa ndio tuna wajengea maadili vizazi vya kesho
Hapa ndio inabidi CDM watueleze uhusiano wao na Conservative huna mipaka?
 
Jamani tuwe waangalifu sana na haya matamko. Inawezekana kuna watu wanakataa ushoga kwa maneno tu lakini practically wana-practice ushoga. Mtu kuwa na mke sio kigezo cha kwamba sio shoga. Kwani Tanzania si kuna watu wana-practice ushoga? Je kukataa kwetu ina maana mtu anayefanya ushoga amevunja sheria? Nimeona watu wanakamatwa kwa-kufanya prostitution lakini sio ushoga. Kama ushoga ni illegal TZ ni sheria ipi inayo-muhukumu huyo mtu? So far naona ni politics tu zakujitafutia supporters lakini in reality Tanzania haijapinga ushoga kwa vitendo. On a different note: Inawezekana UK wamesukumwa kutu-pressure kwenye hili swala kutokana na yule Mtz aliyeomba ukimbizi kwakuogopa kurudi nyumbani. UK hawataki tena wahamiaji/wakimbizi kutoka nchi za Africa, na Uarabuni (kama sijakosea). Infact recently wameweka sheria mpya za uhamiaji. That being said; wao hawataki kuwa ni "safe heaven" ya waafrica watakaokuja na ajenda ya ushoga. Na njia kuu ni kushinikiza nchi za hao watu wawakubali (just a different perception on the issue).
 
hapa Leo ndio nime conclude pro cdm wengi ni viazi ... mnamkebehi mtoa mada..... mwalilia kwa mods thread ifutwe while kuna swali linalohitaji jibu.

mnadai ule si msimamo wa conservative bali ni wa serikali ... hivi mnazijua sera za conservative ..???

kama chama konachowapa misaada sera zake ndio kama hizo ... alafu mwakiita chama rafiki na cdm ......

hivi mwajua watu wakiwa marafiki moja kwa moja wana vitu common & mutual feelings.......

Nina uhakika cdm wangekuwa madarakani now wangeitikia ule mwito.. thanks god cdm si chama tawala..

nakumbuka kipindi gadafi alipouliwa mzee slaa alikuwa akitetea NTC na NATO waliokuwa wakiongozwa na UK...

sasa nime connect dots ...
 
Kwa mtazamo wangu issue ya ushoga katika sera ya mambo ya nje ya Uingereza itakua ni athari za serikali ya mseto iliyopo Uingereza sasa. Ushoga na usagaji siyo kosa katika Uingereza,Ulaya na Amerika. Wanasema ni haki za kiraia. Conservative siyo chama kinachopendwa na watetezi wa mashoga na waungaji mkono utoaji mimba. Chama kipenzi kwa Uingereza ni LB na kwa kiwango fulani Labour. Na ndiyo maana baada ya uchaguzi uliopita baada ya Torries kukosa viti vya kutosha ktk Bunge kuweza kuunda serikali pekee yake,wachambuzi wengi walikua wanatabiri kwamba Labour na LB wataunda serikali. Lakini haikutokea hivyo,ikawa Conservative na LB. Kabla ya kuundwa serikali kulikua na vikao kati ya vyama hivi viwili ni namna gani wataunda serikali,sera za uchumi,mambo ya nje nk. Sasa tusishangae leo ktk hali ya kushangaza tunaanza ambiwa haki za mashoga,haki za kutoa mimba,kuletewa balozi shoga nk. Mtu kama Membe anayajua yote haya,anatafuta sifa za kijinga tu.
 
Kwa ufahamu mdogo nilionao, vyama vikiwa marafiki kabla ya kuingia madaraka, uhusiano unakoma chama kimoja kinapoingia madarakani, kwani vinginevyo mahusiano ya kibalozi lazima yatakuwa na matatizo, sasa hapa chadema wato tamko la nini wakati wao hawapo serikari?
 
Mkuu, Njiwa watu wana mapenzi mabaya halafu Pro-CDM JF wote wamekubaliana eti uingereza hakuna katiba
 
Ni kweli nimeshindwa mkuu wangu

mkuu utahangaika sana hapa JF lakini watu wote hapa wanajua agenda yako.Usidhani kuna kiongozi yeyote timamu wa Chadema atapoteza muda kukujibu wewe.
 
Issue ndogo sana hii wala haiwezi kuumiza kichwa makamanda. Majibu ya chadema juu ya kitu kama hiki kila mmoja anaweza kuyatabiri hata kabla hawajaja hapa kutamka. chadema hamna mkurupukaji wala Hawafanyi siasa za kubahatisha kama za ccm. They are very honest and transparent to everything na wala hawamuogopi mtu wala kubembeleza kama ccm. Kama unataka kujua kuwa hawabembelezi na wala hawaogopi mtu kawaulize akina Rasta kule Arusha.

Chadema siyo CCM inayobembeleza watu kama inavyofanya kwa mafisadi wake. CCM ndo wangepata Shida kwenye issue kama hii maana Si wakweli na hubembeleza watu hata kama ni wachafu.

Kimsingi hatunasababu ya kuwa na hofu na cdm juu ya kitu kama hiki maana hiki ni chama cha maslahi ya watanzania waliowengi na msimamo wa waliowengi katika katika issue hii ndiyo msimamo wa cdm bila hata chenga kama za membe.
 
mkuu utahangaika sana hapa JF lakini watu wote hapa wanajua agenda yako.Usidhani kuna kiongozi yeyote timamu wa Chadema atapoteza muda kukujibu wewe.

Mkuu, hii ni JF wanasoma watu wengi tu kutoka kila pembe ya dunia..

Wageni wengi ndio wasomaji kuliko members, kwa hiyo usipate shida sana hata wasipojibu lakini najua wengine kama viongozi wamechangia hii thread
 
Kwa ufupi msimamo wa chadema ni huu hapa

"Wanaunga Mkono USENG..
 
Mkuu, hii ni JF wanasoma watu wengi tu kutoka kila pembe ya dunia..

Wageni wengi ndio wasomaji kuliko members, kwa hiyo usipate shida sana hata wasipojibu lakini najua wengine kama viongozi wamechangia hii thread

kwani kila mara unapoandika maneno ya uongo na matusi dhidi ya Chadema unapata nini? Unajiita Independent thinker lakini kazi yako ni kuiandama Chadema tu.Mbona huandami ccm,nccr,udp,tlp,cuf,updp au chausta.Ndio maana hata hao wasio member wanakupuuza kwa sababu wanajua kila post yako ni kutukana,kukejeli na kukashifu chadema.Huna kazi nyingine.Pole sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…