Mbona watu wa CCM mmelivalia njuga sana hili la ushoga au limegusa interest zenu? (sitaki nataka).Wanabodi.
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..
Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.
Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..
Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..
Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..
Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea
Kwanza inaelekea hujamwelewa vizuri DC. Soma huu mstari vizuri : Mr Cameron's threat applies only to one type of bilateral aid known as general budget support, and would not reduce the overall amount of aid to any one country. Unataka kuniambia kuwa wewe ni kilaza kiasi kwamba hata huelewi anayelengwa katika statement ya DC ni nchi au Chama?Wanabodi.
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..
Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.
Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..
Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..
Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..
Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea
Mbona watu wa CCM mmelivalia njuga sana hili la ushoga au limegusa interest zenu? (sitaki nataka).
Nyie hangaikeni lao hiyo si sera ya Chadema, Chadema haina muda wa kupoteza kuzungumzia ushenzi unaofanywa na CCM ina mambo mengi ya msingi ya kushughulikia likiwemo kupanda kwa gharama za maisha.
We ritz naona unawashwa sio tu na umasuburi bali na ukameruun. Misaada hiyo waliipitishia kwako kabla ya kuwafikia CDM?Wanabodi.
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..
Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.
Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..
Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..
Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..
Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea
Nashanga serikali ya CCM kupiga kelele wakati sehemu kubwa ya bajeti yake inatoka kwa mashoga,Mbaya Zaid, Serkali yenu ya CCM chini ya Mkwe.re na Membe Juzi juzi tu walikuwa wanalilia warejeshewe Fedha za Rada na hao hao Mnao waponda, Plus Misaada kibao na sehemu ya Budget kutoka Serikali hiyo hiyo ya David Cameroon, Kabla CHADEMA hawajaja hapa kuto aufanunuzi, Waite Waume zako CCM waje watoe maelezo ni kwanini mpaka sasa wanaomba misaada kutoka serikali inayotambua mashoga hadi kufikia kuletwa Balozi shoga na still bado Mwabwana zako wataendelea kwenda kulia Njaa huko, then CHADEMA ndo watakuja kutoa tamko.
Wanabodi.
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..
Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.
Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..
Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..
Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..
Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea
Kwanza inaelekea hujamwelewa vizuri DC. Soma huu mstari vizuri : Mr Cameron's threat applies only to one type of bilateral aid known as general budget support, and would not reduce the overall amount of aid to any one country. Unataka kuniambia kuwa wewe ni kilaza kiasi kwamba hata huelewi anayelengwa katika statement ya DC ni nchi au Chama?
Pili hapo kwenye red wewe mwenyewe bila kushurutishwa umesema NCHI ZINAZOOMBA MISAADA. Hivyo unajua kabisa kuwa zinazolengwa ni NCHI siyo VYAMA. Kwa hiyo wewe unajua ila hujui kuwa unajua - ni m.p.um.b.a.f.u. Kwa maana nyingine kauli yako ni kwamba chama kinaweza kuendelea kupata misaada even if will not comply to DC requirements, but the country weill not. Hata kwa nchi siyo misaada yote, bali ni general budget support
Dr. Slaa hana muda mchafu wa kuongelea ushoga wa CCM kamuulize bosi wako Nape anayetaka kuwashikisha ukuta vijana ndio anaoujua.Chadema ni chama makini kuna wasomi na kimejaa wanasheria..
Dr. Slaa jitokeze jamvini tuwekeni sawa watanzania, kesho mnaweza kuchukuwa dola watanzania wataka kujua msimamo wenu kama chama litoleeni ufananuzi suala la ushoga
Hii imekaa vibaya ile mbaya, ni vema wakafanya hivyo kwa maslahi ya taifa , otherwise tunaanza kuamini na wao ni mmmm, basi siwezi kutamka tena madudu yenyewe.Wanabodi.
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..
Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.
Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..
Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..
Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..
Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea
Mkuu, fuatilia siasa za Uingereza ndio useme, sera za kukubali mashoga ni sera za Conservative..
Chama cha Labour kinapingana na sera za mashoga..
Hakuna sehemu yoyote kwenye katiba ya Uingereza mashoga wanaruhusiwa

Kwa hiyo Cameroon kavunja katiba ya uingereza?
mnagawa dhahabu kwa wazungu mnaomba vyandarua sasa mtakiona lazima muhemewehizo ni sera za chama chao kama sera ya cdm ikichukuwa nchi mfuko wa saruji utauzwa sh5000
Dr. Slaa hana muda mchafu wa kuongelea ushoga wa CCM kamuulize bosi wako Nape anayetaka kuwashikisha ukuta vijana ndio anaoujua.
Mkuu, fuatilia siasa za Uingereza ndio useme, sera za kukubali mashoga ni sera za Conservative..
Chama cha Labour kinapingana na sera za mashoga..
Hakuna sehemu yoyote kwenye katiba ya Uingereza mashoga wanaruhusiwa
Acha kupotosha mkuu,
Chama cha Lobour toka kwa Tony Blairy mpaka Gordon Brown walikuwa wanapinga ushoga pamoja na kotoa mimba na kuwatetea wageni hizo ndio zilikuwa baadhi ya sera zao..
Conservative sera zao pamoja na kukubali haki za mashoga utoaji mimba pamoja na kuwabana wageni na wakimbizi hizo ni baadhi ya sera za Conservative