Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,227
Cameroun ni PM alitoa kauli ya serikali na siyo chama. Kama sheria hiyo ipo katika katiba yao hata angekuwa wa chama kingine angesema hivyo kukidhi matakwa ya nchi yao.
mods tafadhali ondoa hii post, kuna mtu amerudisha tana. Please mods delete this post, has no credibility.
Kwani hakuna mashoga ccm?Mkuu, fuatilia siasa za Uingereza ndio useme, sera za kukubali mashoga ni sera za Conservative..
Chama cha Labour kinapingana na sera za mashoga..
Hakuna sehemu yoyote kwenye katiba ya Uingereza mashoga wanaruhusiwa
Mkuu, fuatilia siasa za Uingereza ndio useme, sera za kukubali mashoga ni sera za Conservative..
Chama cha Labour kinapingana na sera za mashoga..
Hakuna sehemu yoyote kwenye katiba ya Uingereza mashoga wanaruhusiwa
Wanabodi.
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..
Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.
Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..
Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..
Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..
Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea
nenda democrat au GOP, nenda labor au conservatives vyote vinakubali na vina wanachama mashoga. Ni namna tu wanavyotaka ku-gain political advantages juu ya ushoga ndipo utaliona. Hivi Membe hajui kuwa ktk masuala ya ushoga Ulaya na Marekani hakuna vyama vyenye itikadi tofauti kimsingi?
Halafu mi sioni tofauti ya dhambi ya uzinifu na ushoga. Kama vile nisivyoona haja ya tofauti kati ya dhambi hizo na uuaji, ubakaji na ufisadi. Hivi hasa Membe na ccm wanataka kusema nini hapa?
PM, Cameroon ametoa wapi hiyo??? Au amesemea chama chake?
Acha ujinga wa kumsumbua mod sio mjomba wako huyo hadi umwambie afute thread inayo ongea ukweli,Hebu ni kuulize hivi Chadema na Conservative sio marafiki? Kama rafiki yako ni shoga na anatetea ushoga lazima utoe msimamo wako! Chadema msikae kimya kwa hili,je ulizeni urafiki wenu na hao Conservative ni katika kujifunza nini?
Kwani hakuna mashoga ccm?
Je mnaruhusu ushoga?Kama hamuruhusu,wafukuzeni uanachama halafu muweke wazi kuwa ccm haitaki mwanachama shoga.
Kama mnapinga ushoga,onesheni kwa vitendo msiwe na ule unafiki wa "Dont ask dont tell" waliokuwa nao marekani kwa wanajeshi wao before.
Mkuu, fuatilia siasa za Uingereza ndio useme, sera za kukubali mashoga ni sera za Conservative..
Chama cha Labour kinapingana na sera za mashoga..
Hakuna sehemu yoyote kwenye katiba ya Uingereza mashoga wanaruhusiwa
Mkuu, swali lako ungemuuliza Nape au Mkama..
Mimi ni Independent Thinker...
Unachoandika hapa ni utapeli wa kisiasa kama gazeti lenu la JAMBO LEO lilivyoripoti leo.Unafiki wa kisiasa utakuangamiza!
Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..
So am i,Mkuu, swali lako ungemuuliza Nape au Mkama..
Mimi ni Independent Thinker...
Kuna mashoga ccm ama hakuna?Chadema ni chama makini kuna wasomi na kimejaa wanasheria..
Dr. Slaa jitokeze jamvini tuwekeni sawa watanzania, kesho mnaweza kuchukuwa dola watanzania wataka kujua msimamo wenu kama chama litoleeni ufananuzi suala la ushoga