Mpigania Uhuru
Member
- Dec 5, 2011
- 78
- 93
msajili hana mamlaka ya kuwachagulia watu bendera yao wanayoitakaNashangaa Tendwa kashindwa kufanya uamuzi wa kuikataa hiyo bendera!
Hawa jamaa wa ADC vitu vyao vingi ni vya kukopi!
tendwa ni msahili sana, kila anolfanya linakuwa kuilenga CDM , huyu jamaa anatumika na magambaYeye msajili angesema tu rangi ya ADC ni nyekundu, bluu bahari, nyeupe na nyeusi, bila ya kuitaja CHADEMA. Watu wenyewe wangegundua kuwa ni sawasawa na ya CHADEMA. Tendwa kutamka hilo ataonekana anataka kuibua hoja fulani. Jamaa huwa simuelewagi!
Yeye msajili angesema tu rangi ya ADC ni nyekundu, bluu bahari, nyeupe na nyeusi, bila ya kuitaja CHADEMA. Watu wenyewe wangegundua kuwa ni sawasawa na ya CHADEMA. Tendwa kutamka hilo ataonekana anataka kuibua hoja fulani. Jamaa huwa simuelewagi!