Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,312
Utajuwa wewe sisi tunachohitaji ni kuiondoa ccmSiyo chadema tena?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utajuwa wewe sisi tunachohitaji ni kuiondoa ccmSiyo chadema tena?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unamuona lipumba hapo??? Hacha uzwazwaKwahiyo ACT wazalendo ndio imeshamezwa na Cuf ya Zanzibar?!!
Naona Zitto hamuachi dada yake kila anakoenda!
Nilitarajia jibu kama hili kwa sababu wanafiki wote ndivyo wanavyofanya! Kama sio mnafiki, taja sababu moja TU ya msingi iliyokufanya uamini kuna udini kwenye huo uteuzi!Sijataja wakristo au waislam kwenye point yangu
Nimekuambia unaishabikia CCM au nimesema unakuwa kibaraka wa CCM bila kujijua kwa sababu ni CCM ndio wenye tabia ya kuchomekea habari za udini kwenye vyama vya upinzani! NImepitia posts zako nimegundua unaishabikia CHADEMA in one way or another! Na CHADEMA tangu ilipoanza kupata nguvu kikaitwa chama cha Wakristo na waliokuwa wanaendesha hizo propaganda ni CCM! Sasa bado tu hujaona unavyoitumikia CCM bila kujijua!!!Wala CCM sijawahi kuishabikia au kuipenda tangu kuzaliwa.
Mama alikimbilia V8 sio kukimbia chama bana!kuna cheo kinawekwa na mtu mmoja tu kwa kutumia mamlaka yake makubwa kuliko kamati kuu nzima. Kiongozi mkuu wa chama anamuweka mwenyekiti wa Chama na hakuna wa kuhoji.
Mama yetu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro alikimbia hiko chama kwa demokrasia ya majaribio ambayo haiakisi uhalisia wowote