Chama cha ACT Wazalendo chaboresha safu ya uongozi

Chama cha ACT Wazalendo chaboresha safu ya uongozi

Naona maalim hataki mchezo anataka hela zake zianze kuingia ACT lazima amuweke msimamizi N. Mazrui
 
Yaah,. Hapa tayari muunganiko wa hesabu unakwenda vyema. Kuimarika ACT Zanzibar ni kuipa uhai harakati ya kudai demokrasia nchini. Safu ya mapambano kwa upinzani kule Zanzibar kama nguzo muhimu ya kudai Demopkrasia Tanzania inarejeshwa mara hii kupitia ACT wazalendo. Tuombe mwisho Mwema.

Hii ni kuimarika ACT na kuileta nguvu ya mapambano pamoja.

Imarisha ACT Zanzibar,
Imarisha Ukawa mpya
Jenga Upinzani imara bara na visiwani, ziba mianya, dai tume huru ya uchaguzi kwa harama yoyote ile. Ingia kwenye chaguzi ukiwa imara.
 
kuna cheo kinawekwa na mtu mmoja tu kwa kutumia mamlaka yake makubwa kuliko kamati kuu nzima. Kiongozi mkuu wa chama anamuweka mwenyekiti wa Chama na hakuna wa kuhoji.

Mama yetu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro alikimbia hiko chama kwa demokrasia ya majaribio ambayo haiakisi uhalisia wowote
Anna Mghwira
 
Chama hakina dokta wala profesa hata mmoja wakuzugia, au ndo azimio la tabora linavyotaka?alafu sidhani kama zitto na maalimu wanaendana ukiacha kuenda masijidi.
Zitto anajiita mjamaa huku anataka wachina wapewe bagamoyo?
Mjamaa anaendesha gari ya kifahari ya kimarekani,toka lini?
ACT wamwambie zitto aache siasa za sungura mjanja
 
Yule alikimbia njaaa tu na kama angebakia huko hadi sasa tusingekuwa tunamuongelea hapa
 
Ngoja tusuhbilie tuone, maana Siasa za Tz hasa hawa wa mawazo mbadara ningumu kuwaelewa
 
Hiyo ccm yenye ma Dr na maporopesa imetufanyia jambo gani la kujivunia hadi sasa?
Chama hakina dokta wala profesa hata mmoja wakuzugia, au ndo azimio la tabora linavyotaka?alafu sidhani kama zitto na maalimu wanaendana ukiacha kuenda masijidi.
Zitto anajiita mjamaa huku anataka wachina wapewe bagamoyo?
Mjamaa anaendesha gari ya kifahari ya kimarekani,toka lini?
ACT wamwambie zitto aache siasa za sungura mjanja
 
kwa vyama visivyokuwa na impact yoyote kwa maendeleo ya wananchi hizo tunaita safu za ulaji.
 
Hiyo ccm yenye ma Dr na maporopesa imetufanyia jambo gani la kujivunia hadi sasa?
Ccm tatizo sio watu ni mfumo,ndomana chadema husubiria watoke wawachukue,Leo chadema ukiwapa Membe watarukaruka mpaka vijambo viwatoke,niamini broo,zito mwenyewe anasaka watu ccm
 
Back
Top Bottom