Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,312
Jitahidini kuheshimiana jamani
Mbona mamako ninaye hapa!
Mbona mamako ninaye hapa!
Mh Zito ana cheo gani ?[emoji1321][emoji3603]
Cuf kimeshavaa koti la act
Bwege weeeeee
Hakuna chama wabaguzi wa kila aina kama ccmChama Cha waislamu wakristo kuwaona kwenye hiyo list Hadi uwe na tochi
Na khaswa CCM
Nonsense!Islamic Political Party baada ya CUF kuvaa Ukafiri
Unaweza kuwataja Wakristo 5 ambao labda ungependa wawepo kwenye hiyo list ya uongozi?!Sipendi niandike chochote hapa
Ila dini zinazidi kwenye vyama
Wewe na wenzako msiofunga 6 mlienda kujiunga na mkakataliwa kwa sababu sio miongoni mwao au ni chuki zako tu ndizo zinakusumbua?!Tatizo la hiki chama asilimia kubwa wamefunga sita!!
Even in a Nonsense there is a Sense in it.Nonsense!
Acha udini! Acha kuwa kibaraka wa CCM bila kufahamu manake ndio wenye huo upumbavu!Even in a Nonsense there is a Sense in it.
Wala CCM sijawahi kuishabikia au kuipenda tangu kuzaliwa.Acha udini! Acha kuwa kibaraka wa CCM bila kufahamu manake ndio wenye huo upumbavu!
Mama ako kanipa nyumba ni chooHahahaa...... Mamako kanipa papai bwawa!
Hahahaa.....mzee umelishwa mavi!Mama ako kanipa nyumba ni choo
Kanipa nyuma ukoHahahaa.....mzee umelishwa mavi!
Hahahaa...... Hahahaa...... Hahahaa.......!
Sijataja wakristo au waislam kwenye point yanguUnaweza kuwataja Wakristo 5 ambao labda ungependa wawepo kwenye hiyo list ya uongozi?!
Amekudharau sana unanuka mavi !Kanipa nyuma uko
Naona mmeuza jumlaKAMATI KUU YA ACT WAZALENDO YAFANYA UTEUZI WA KUBORESHA SAFU YA UONGOZI WA KITAIFA
Katika kikao chake cha kawaida cha siku mbili (tarehe 9 na 10 Juni 2019) kinachoendelea jijini Dar es salaam, Kamati Kuu ya Chama imefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wa kitaifa ili kuboresha safu ya uongozi wa kitaifa wa Chama.
Viongozi walioteuliwa na Kamati Kuu ni wafuatao;
A. Mshauri Mkuu wa Chama
Ndugu Maalim Seif Shariff Hamad
B. Wajumbe wa Kamati Kuu
1. Ndugu Theopista Kumwenda
2. Ndugu Mwajabu Dhahabu
3. Ndugu Fatma Fereji
4. Ndugu Eddy Riyami
C: Wenyeviti wa Kamati za Kitaifa
1. Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Miradi:
Ndugu Nassor A. Marzurui
2. Mwenyekiti wa Kamati ya Itikadi, Mawasiliano na Uenezi
Ndugu Salim A. Bimani
3. Mwenyekiti wa Kamati ya Kampeni na Uchaguzi
Ndugu Joram Bashange
4. Mwenyekiti wa Kamati ya Oganaizesheni, Mafunzo na Wanachama
Ndugu Mhonga Ruhwanya
5. Mwenyekiti wa Kamati ya Mikakati, Usimamizi na Ufuatiliaji
Ndugu Ismail Jussa
D: Makatibu wa Kamati za Kitaifa
1. Katibu wa Kamati ya Oganaizesheni, Mafunzo na Wanachama
Ndugu Shaweji Mketo
2. Katibu wa Kamati ya Katiba na Sheria
Ndugu Kulthum Mchuchuli
3. Katibu wa Kamati ya Uadilifu
Ndugu Mbarala Maharagande
4. Katibu wa Kamati ya Mikakati, Usimamizi na Ufuatiliaji
Ndugu Rachel Kimambo
Imetolewa na Ado Shaibu, Katibu wa Itikadi, Mawasiliano na Uenezi, ACT Wazalendo.
Tarehe 10 Juni 2019.
Siyo chadema tena?Sema tu usiogope kuwa ACT WAZAREENDO WANACHUKUA URAIS 2020