Hizi "Naja" zimeitikiwa kibao aisee mpaka ukiwamaliza wote na ww umemalizwaOky naja usjali


Haha usiwe serious sana na maisha vitu kama hivi ni muhimu sometime haijalishi umri.Haha, jf raha. Hapa ndio mwenye 50yrs Hana tofauti na mwenye 20yrs.
KweliiJmniiiiii

Amna ni swala la kuangalia Kama unawadumu unapambania!Kwa hyo niachane nao sio
mapensii
Anhaa usijali naelewa!!!hahahaha ni maneno tu hayo dya ata juwajibu uwa siwajibU

Malendi