Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,115
- 3,812
- Thread starter
-
- #21
ndio ila intrest za benki hazivuki 9% wakati ya UTT ni 12% mpaka 15%.Mtu aliyewekeza UTT bado anafaida zaidi kuliko aliyewekeza benki.Inategemea bank umefungua account Gani, sio kila account haizai..,nadhani na ww unalijua Hilo.
Ruksa shekhe ni wewe na pesa zako tu.Inaruhusiwa kufungua mifuko zaidi ya mmoja?
What?Nililimamiti 30 yrs ago na sasa nikitakakuuza ni 8,000/=. Naamini ni upuuzi mtupu kuinvest katika kilimo cha miti
Sawa shukrani kwa mchango wako🤝Kwenye mafanikio ya maisha kila mtu ana njia yake.
Nakusoma KamandaRuksa shekhe ni wewe na pesa zako tu.
Ila kuna mifuko yenye low risk na mifuko yenye moderate risk.
Kwa sisi masikini kuelekea kipato cha kati na pesa zetu za kudunduliza huwa wanashauri ufungue mifuko yenye low risk kama LIQUID/UKWASI FUND na BOND FUND.
Good msg and people forget value of money today cant be the same as that of tormorowMaisha ni sasa , yani unapoishi leo ndio maisha hayo , kula bata kila unapojisikia kuishi ni sasa.
📌Rudi usome na uelewe,acha kujichoresha.Una uhakika kwamba utafika hiyo 2040?
Future isn't assured.
Elezea hiyo ukwasi ya utt...nikiweka million 230 napata kiasi gani kwa mweziWadau wa maendeleo hasa wanaume tukutane hapa kutekeleza hii challenge.
Mimi nimeanza kwa kutoa pesa zote benki na kupeleka UTT UKWASI FUND na BOND FUND nimeweka huko.Panapo majaaliwa tukutane at 40.Life starts at 40.
Baada ya comulative interest za miaka kama 15 hivi.Ntakuwa na uwezo wa kutimiza ndoto zangu za kwenda kuizunguka Dunia.Mimi ni mpenzi wa adventure.
Pia kila mwisho wa mwezi nimejiwekea ka utaratibu ka kutupia vilaki kadha huko UTT.
Pia kwa umri huo ntakuwa naitwa Daddy😀😀😀hapo chacha ni mwendo wa kula na kunywa.Na kwa kiasi fulani ntawaachia wanangu kaurithi na wenyewe waendeleze nilipoishia.
Wakulungwa karibuni kwenye Challenge!!!!
#M.O.B NIGGERS!!!
Wengine sisi ni heri kupata hicho kidogo baadae kuliko kukosa kabisa.Good msg and people forget value of money today cant be the same
Ingia google andika UTT CALCULATOR watakuletea calculator yao ya kukokotoa hizo hesabu.Elezea hiyo ukwasi ya utt...nikiweka million 230 napata kiasi gani kwa mwezi
📌Tupo pamoja mara mojamoja tunasanuana mambo ya MSINGI na kuacha mbususu pembeni kwa muda.Hongera mkuu
Ni kweli kuna aina nyingi za uwekezaji ila tambua kiuchumi kila aina ina risk zake.Bora ninunue pori NIPANDE miti
mzabzab pitia hichi kitabu kuna madini mengi ila kama upo Daslam nenda posta kwenye jengo la SUKARI HOUSE.Hapo ndipo makao makuu ya UTT.Hongera mkuu
Ukwasi haina gawio yenye gawio ni BOND FUND.Elezea hiyo ukwasi ya utt...nikiweka million 230 napata kiasi gani kwa mwezi
We acha tuWhat?
Huu uzi ni wa wapambanaji na tena wanaume.Tafuta hela kula hela
Kabisa mkuu,tupo pamoja katika hili📌Tupo pamoja mara mojamoja tunasanuana mambo ya MSINGI na kuacha mbususu pembeni kwa muda.