Challenge ya huyu mwanamke imenishinda

Challenge ya huyu mwanamke imenishinda

Ndo kawaida yao. Usiku ukifika sebule inabadilishwa inakuwa kama wodi ya Mwaisela, magodoro yanatandikwa chini kama yote hamna pa kupita full kujambiana na kero zote mpaka asubuhi.
Hizi tabia na wanyakyusa na wapare wamo humo
 
Tukiwaambia tafuteni fedha vijana mnakuwa mbogo, sasa unaoa ili iweje!
 
Hivi wanawake wamekuwaje siku hizi mbona hawajifunzi kwa bibi zetu na mama zetu " uvumilivu" wanataka ready made tu[emoji848][emoji848]

Kizazi cha nyoka
Wataisoma namba huko mbeleni..... Wanaume wanaowahusu ndio hao wanapita.... Wakishafika umri wa kina aunt Ezekiel kazi inabakia kuanza kumendea wanaume waliopo kwenye ndoa na kufosi kuzaa nao ili wawaharibie wenzao.

Tabia chafu sana.... Maringo ya kipumbavu. Mimi mwanamke ambaye anatakiwa kuniambia nitafute nyumba kubwa ni yule anayestruggle na mimi sio kajitu masikini kuanzia hali hadi akili kanipangie.... Mimi ndie nitalipa bili. Kama wewe ni mzuri sana nenda huko kagawie hao wenye unachokitaka ukishachoka kutumika ukiniletea uchafu wako nakurekodi nawapostia mabaharia wakupigie puchu....
 
Kizazi hiki ni cha mwendokasi kimeelimika na kujanjaruka zaidi ya kile kilichopita. Huku sasa hivi uvumilivu sio kauli mbiu. Shetani kawakamatia haswaaaaaaa ndo mwalimu wao. Wanadeka, wanajibizana na waume zao mbele za watu, wanadanga, wanapenda anasa, wana tamaa, wavivu, wanazurura hawatulii majumbani mwao, walevi, wabishi, wachafu, hawana adabu, wanashinda mitandaoni, wanatumia line mbili, hawana staha, wakorofi, watata, hawajishushi, hawawaheshimu wazazi wao.....the list is endless..
Aaaaah basi.... Mwisho wa siku kila mtu atabeba mzigo wake. Waendelee hivyo watauona mwisho wake.....

Mimi siumizi kichwa na mtu, hata huyu nilie nae nilishamwambia kuwa haya mahaba ninayokupa sio kwasababu unasababisha ni mimi nimeamua na nimechagua kukupa wewe....

Sasa usijeniletea mapozi na maringo yasiyo na mbele wala nyuma wakati unajua we are in this together, and we are in it to win it.... So be gentle.

Huwa anajua na nimeshaweka mipaka ya kutokupelekeshana. Kama kunashida keti chini na mimi ongea, Ego na pride tupa huko.....
 
Huyu atakua umempata Bodoo,ndo wanaulizaga unanifata una gari gani? Ukimwambia IST au Raum anakwambia mama kaja siwez kutoka,ila ukimwambia nina Alphad au Subaru unakuta kashajiandaaa kbsa,wajinga sana hawa ila tatizo kuuu ni sisi kuwaendekeza
 
Humu utapaka kila aina ya ushauri ila muamuzi ni wewe mwenyewe,nadhani Mungu ameamua kukuonyesha mapema aina ya Mwanamke uliyekua unataka kumuoa,

When one door closes onother opens,hope utanielewa namaanisha nini.
 
Ndio matatizo ya kudanganya danganya wakati unatokea demu. Ungejionesha wewe ni nani toka mwanzo msingefika huko
 
Halafu wanawake wapemba, wanzanzibari na waarabu hawataki shida sijui mambo ya kwenda sokoni, kuhama hama kodi ikikushinda hiyo hawataki kabisa
 
Huyu atakua umempata Bodoo,ndo wanaulizaga unanifata una gari gani? Ukimwambia IST au Raum anakwambia mama kaja siwez kutoka,ila ukimwambia nina Alphad au Subaru unakuta kashajiandaaa kbsa,wajinga sana hawa ila tatizo kuuu ni sisi kuwaendekeza
Hapana sijampata huko
 
Huyu demu ana papuchi mbili? Mteme chukua mwingine mbona wake wengi tu?
 
Mmmh...

Kutoka Pemba?!!!

Labda huyo mwanamke atakuwa Ni kutoka FAMILIA YA KIPATO KIKUBWA ama mpenda makuu tu......

Halafu sura si roho....

Mueleweshe kuwa ana dhima ya kusimama nawe ili MJIJENGE KAMA FAMILIA kwani UZURI WA RUMI HAUKUJENGWA SIKU MOJA....

Kila la heri akhi!!
 
Kama umesema asili ya kipemba achana nae kama wew ni wabara.
Narudia tena wala usitishike na suala la pesa au nyumba.ni jadi yao wale hata uwe na pesa vipi wale ndo walivo ni wasumbufu mno wakiolewa na mbara.

Yaani wao hua wanaringia weupe ili aonekana ni mzuri basi anatakiwa aolewe aachike akiolewa tena ivo ivo.

Kaachika mara mbili ajabu unasikia mie ndo Kwanza Nina chungu Cha pili!!
Utastaajabu sanaa yakheee.

Achana nae sogea umasaini watoto kibao.
Umesemea experience yako na huyo uliyemuoa wewe AKAKUSUMBUA...Kama sivyo,basi unatuletea habari koko za KUSIKIA...

Tanzania yetu imejaa baadhi ya wanawake wanaopenda makuu..ila hawawezi kuwa wengi ama wote.....

Kupenda makuu ni hulka ya baadhi ya BINADAMU na kamwe huwezi kuwatia wanawake wote wa sehemu fulani ndani ya KAPU MOJA....
 
Hivi karibuni nilibahatika kupata mchumba mwenye asili ya Pemba sasa kilichonileta wadau huyu mwanamke tulikubaliana vizuri tuoane akawa anataka apajue na kwangu baada ya kumleta akashangaa nimepanga vyumba viwili chunba na sebule vya kodi elfu 70 huyu mwanamke kanikataa kasema hawezi kuishi na mwanaume mwenye vyumba viwili anataka mwenye nyumba yake hanionei hata huruma kwa umri huu wa miaka 30 na yeye 25 anashindwaje tuishi wote huku tukijipanga isitoshe yy jobless na Mimi mfanyabiashara dah
Mazingira ndiyo tatizo....uko unaishi kwenye nyumba ya kupanga hivyo hatoweza kufuga majini yake kwani atashindana na wapangaji wenzenu au na mwenye nyumba. Si unawajuwa wapemba, ukimuoa lazima uoe na majini yake aje kuishi nayo ili wakudhibiti na kukuendesha.
 
Ndoto za wanawake no kuolewa na mwanaume tajiri ila niwachache wanaofanikiwa
Wale 98% wanaangukia mikononi mwetu sisi mpaka mkeka wa muhindi ukubali ndio ale ubwabwa ndondo
 
Ndoto za wanawake no kuolewa na mwanaume tajiri ila niwachache wanaofanikiwa
Wale 98% wanaangukia mikononi mwetu sisi mpaka mkeka wa muhindi ukubali ndio ale ubwabwa ndondo
Vijana utajiri tuotoe wapi hata wa kurithi geresha tu
 
Back
Top Bottom