Hicho alichokwambia maana yake ni niniGPA ya 3.8 UDSM 1986 Chemical and Process engineering!
Nimemkumbuka Mwalimu Wangu Kamuzola
Kwenye mtihani Wa MWISHO wa Open book alinikuta na kitabu ambacho katoa mtihani humo humo ilimuuma sana ikabidi aniambie kwa kihaya wengine wasielewe kwamba
IWE KIJANA MPA AKATABO AKO , maana alinijua sana, hapo alina Rweikiza mbunge Wakisoma sheria tunawaita NGUIN
Nadhani hapo akina Pascal Mayalla walikuwa wako Kanda ya Ziwa huko Baba yao akiwa kitengo 😎
Britanicca
Kwa sasa unafanya kazi ya mshahara kiasi gani kwa wiki?4.1 gpa bachelor of Architecture Ardhi University
4.4Ulipata GPA ya ngapi university?
Me.4.0
Wewe je?
NB: Special kwa wenye elimu
Hilo ndo tatizo kubwa la ukabila, wahaya mnapeana majibu humo chuoni?GPA ya 3.8 UDSM 1986 Chemical and Process engineering!
Nimemkumbuka Mwalimu Wangu Kamuzola
Kwenye mtihani Wa MWISHO wa Open book alinikuta na kitabu ambacho katoa mtihani humo humo ilimuuma sana ikabidi aniambie kwa kihaya wengine wasielewe kwamba
IWE KIJANA MPA AKATABO AKO , maana alinijua sana, hapo alina Rweikiza mbunge Wakisoma sheria tunawaita NGUIN
Nadhani hapo akina Pascal Mayalla walikuwa wako Kanda ya Ziwa huko Baba yao akiwa kitengo 😎
Britanicca
Big Up MkuuGPA ya 3.8 UDSM 1986 Chemical and Process engineering!
Nimemkumbuka Mwalimu Wangu Kamuzola
Kwenye mtihani Wa MWISHO wa Open book alinikuta na kitabu ambacho katoa mtihani humo humo ilimuuma sana ikabidi aniambie kwa kihaya wengine wasielewe kwamba
IWE KIJANA MPA AKATABO AKO , maana alinijua sana, hapo alina Rweikiza mbunge Wakisoma sheria tunawaita NGUIN
Nadhani hapo akina Pascal Mayalla walikuwa wako Kanda ya Ziwa huko Baba yao akiwa kitengo 😎
Britanicca
Ulipata GPA ya ngapi university?
Me.4.0
Wewe je?
NB: Special kwa wenye elimu
GPA kweli sio issue sana unaweza kuwa na GPA ya 3 na ukala kitengo kizuri tu serikalini bado wenye na GPA za 4 au 5 wakabaki kitaa wanasota maana mfumo wa sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma wanachoangalia ni ufaulu interview tu hawajali GPA ya ngapi we faulu interview tu wanakupa kitengo,japo nashauri vijana wapate GPA nzuri maana kuna taasisi nyingine hauwezi pata kazi kwa utaratibu maalumu bila kuwa na GPA kubwa kwa mfano BOT ,na kazi za lecturerersGPA ni takataka kama haikusaidii
wapo waliopata Gpa za 2.5 wanakula maisha kwenye vitengo wakati wale wenye 4.0+ wapo kitaa hawana ramani au wapo kampuni za mishahara kiduchu kazi mlima.
Nesi mwanaume?4.7 bachelor of science in nursing st john . mwanaume
We ulifika hata form 1 kweli?Nesi mwanaume?
Hii kitu inauma sana aisee3.7, hii mpaka leo inaniuma maana kwa college yetu walikuwa na uhitaji mkubwa wa tutors ila ndo hivyo nikachemka!
B.com, udsm mwaka 2011!