Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,414 Nov 3, 2020 #1 Umepewa Tsh.100 ukanunue kuku, bata,na Njiwa. Jumla yao wawe 100. Ikiwa kuku mmoja anauza Tsh.1, bata mmoja anauza Tsh.5 na Njiwa mmoja anauza Cent 1. Je, utanunua kuku, Njiwa na Bata wangapi?
Umepewa Tsh.100 ukanunue kuku, bata,na Njiwa. Jumla yao wawe 100. Ikiwa kuku mmoja anauza Tsh.1, bata mmoja anauza Tsh.5 na Njiwa mmoja anauza Cent 1. Je, utanunua kuku, Njiwa na Bata wangapi?
King snr JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 1,165 Reaction score 1,474 Nov 3, 2020 #2 Emmanuel Kasomi said: Umepewa Tsh.100 ukanunue kuku, bata,na Njiwa. Jumla yao wawe 100. Ikiwa kuku mmoja anauza Tsh.1, bata mmoja anauza Tsh.5 na Njiwa mmoja anauza Cent 1. Je, utanunua kuku, Njiwa na Bata wangapi? Click to expand... Una calculator hapo?
Emmanuel Kasomi said: Umepewa Tsh.100 ukanunue kuku, bata,na Njiwa. Jumla yao wawe 100. Ikiwa kuku mmoja anauza Tsh.1, bata mmoja anauza Tsh.5 na Njiwa mmoja anauza Cent 1. Je, utanunua kuku, Njiwa na Bata wangapi? Click to expand... Una calculator hapo?
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,414 Nov 3, 2020 Thread starter #3 Calculator ipo tena ile scientific calculator King snr said: Una calculator hapo.? Click to expand...
Calculator ipo tena ile scientific calculator King snr said: Una calculator hapo.? Click to expand...
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,195 Reaction score 49,144 Nov 3, 2020 #4 Kwanza kwa usawa huu wakunipa hio sh.100 atatoka wapi?
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,414 Nov 3, 2020 Thread starter #5 mng'ato said: Kwanza kwa usawa huu wakunipa hio sh.100 atatoka wapi? Click to expand... Hahahaha lakini kwel
mng'ato said: Kwanza kwa usawa huu wakunipa hio sh.100 atatoka wapi? Click to expand... Hahahaha lakini kwel
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,657 Reaction score 197,315 Nov 4, 2020 #6 Ngoja waje... Cc: mahondaw