Nimejaribu kumwomba kama kuna uwezekano wa kutuwekea uthibitisho wa aina flani wa hizo record nzuri za RA,kama si za kweli basi ina maana mleta hoja yuko bias na huku akitaka kutuaminisha kuwa yuko just fair and balanced.Jmushi, inakuwaje record nzuri kam anavyoripoti "Waberoya" Gazeti la Mtanzania, Rai wasiandike kuhusiana na bosi wao!!! ama kweli ukipenda chongo utaita kengeza!!!
Thread hii haihitaji wavivu wa kufikiri, mtasema ...anawasafisha, umetumwa, craps, umepewa sh.ngapi, huna tofauti kabisa na wanasheria wa TANESCO wasiojua A wala B na wanaingizwa mknege mchana mchana, mara unamponda mara unamsafisha tatizo ni WEWE haujanielewa... HUNA HOJA KAA NJE, sitajibu vijembe sijapiga kijembe naeleza HALI HALISI TUNAYOISHI HUMU! SINA USHABIKI WA CHAMA ..................
Umeanza vizuri brother, lkn kizuri ni kuwa unajistukia.
Kwa taarifa yako hawasafishiki hao hata kwa detergent gani? Mwisho wao ni ubunge, Urais labla watanzania wa kizazi hiki wote wafe. Hao na kaniki tofauti ndogo sanaaaaaaaaaaaaaaaa
Alete data zinazoprove kuwa RA alitoa michango hiyo huko Bungeni...Hakuna minutes?Hilo swali la kusaidia kwenye uchumi kama yeye ni mtetezi wake mbona very easy?Kama jamaa ni mfanya biashara mkubwa ambaye watetezi wake wanaamini kuwa ni mmojawapo wa watu ambao endapo watashughulikiwa nchi itayumba?Kwa tafsiri nyingine pia inaamisha wana nguvu kisiasa na kiuchumi...And then atakwambia ni a potential tax payer,kwasababu kama angekuwa mkwepa kodi tunaamini angekuwa pahala panapostahili...Mjifunze kuuliza mswali magumu,ndo maana watu wanaposti upupu tu nowadays na matusi.Waberoya again!
RA ameisaidia tz sana kwenye uchumi.....leta ushahidi.
Mwl.Enginner Weboroya Mke wa Mbowe ambaye ni Daktari wa binadamu na mtafiti mzuri sana amebwaga manyanga ya kikazi kwa muda ili angalie miradi mzee asonge mbele na gurudumu la kutukomboa Mbowe nadhani ni mtu ambaye anajua mmipaka yake hata kabla yakuwa kwenye madaraka ya kiserikari huyu amejitahiidi kuhakikisha mambo ya biashara yanakuwa na uongozi mwingine kabisa ndani ya familia
Ndugu yangu Waberoya pole sana! Ila hatutakiwi kuchoka kuwatoa watu katika lindi la upungufu wa kufikiri na kuabudu kwamba fulani ndio atatufanyia hivi.. sisi hatuwezi kufanya hivi... akili za watanzania zinazidi kudumaa na kudhani wanaishi sayari ntingine... Tunaangalia mabaya na mazuri ya hao tukiyaacha kwa kuwapata wema wengine... watu wanasahau media za Tanzania ndizo zinawapamba watu na kuwaanika! Watu wanasahau kabisa media za Tanzania zinaaminika na upepo unaweza kubadilika wakati wowote! Mifano ipo wenye akili wanakumbuka.Thread hii haihitaji wavivu wa kufikiri, mtasema ...anawasafisha, umetumwa, craps, umepewa sh.ngapi, huna tofauti kabisa na wanasheria wa TANESCO wasiojua A wala B na wanaingizwa mknege mchana mchana, mara unamponda mara unamsafisha tatizo ni WEWE haujanielewa... HUNA HOJA KAA NJE, sitajibu vijembe sijapiga kijembe naeleza HALI HALISI TUNAYOISHI HUMU! SINA USHABIKI WA CHAMA
nasema hivi, nasema hivi, kuwa wafanyabiashara wajao watazuiliwa vipi wasiwe rostam au el, umenipata??
Kuna hoja huwa hazijibiki mpaka umekaa chini kwanza na kutafakari this is really JF mambo ya kata hapa hayapo.
Hujaelewa -uliza
imekuchoma- lia
imekufurahisha- cheka
inafundisha katekeleze
imeakuamsha usifanye shingo yako kuwa ngumu......Nchi hii ambayo kila mtu ni fisadi we need serious reformation to believe our leaders ebo!
Mkuu umemsifia RA hadi kuna sehemu umesema tu 1999 halafu RA bila kusema alifanya nini hiyo 1999.Hata hivyo it is amazing kama hiyo record uliyoiweka hapo juu ni ya kweli,je kuna namna yoyote unaweza kuprove hizo accreditions?Yani ule ujambazi wa Kagoda unampa heshima ya kuufanyaje?Ama is it a different Kagoda you're talking about?
Jmushi, inakuwaje record nzuri kam anavyoripoti "Waberoya" Gazeti la Mtanzania, Rai wasiandike kuhusiana na bosi wao!!! ama kweli ukipenda chongo utaita kengeza!!!
Ndugu yangu Waberoya pole sana! Ila hatutakiwi kuchoka kuwatoa watu katika lindi la upungufu wa kufikiri na kuabudu kwamba fulani ndio atatufanyia hivi.. sisi hatuwezi kufanya hivi... akili za watanzania zinazidi kudumaa na kudhani wanaishi sayari ntingine... Tunaangalia mabaya na mazuri ya hao tukiyaacha kwa kuwapata wema wengine... watu wanasahau media za Tanzania ndizo zinawapamba watu na kuwaanika! Watu wanasahau kabisa media za Tanzania zinaaminika na upepo unaweza kubadilika wakati wowote! Mifano ipo wenye akili wanakumbuka.
Hivyo basi wenye upeo finyu kwa kutafakari hawataelewa thred hii inahusu nini!???