Challenge accepted: Hakuna anayenipita kwa Uhensamu JF nzima

Challenge accepted: Hakuna anayenipita kwa Uhensamu JF nzima

Portuguese police interviewed heroin addict linked to Maddie McCann
Hapa umenikomesha naomba mods wafunge Uzi .

Nisamehe samahani kwa usumbufu bange si kitu kizuri wakuu, Mimi Maghayo The Mongolian Savage kuanzia Leo sitotumia bange tena , kwa wote niliowakwaza naomba tusamehane huku ni kukosa kazi na ni uvivu wa kulima tu.
 
Babu kama wewe unahati miliki zakujiita handsome na huo ndio muonekano wako!, basi mimi nina leseni,kitambulisho,cheo na nina PhD ya u handsome!..
wewe hilo uso peleka kwenye mashindano ya vichekesho...😂
Kaka leo umetuamulia wazee😆
 
Back
Top Bottom