Chalinze, Pwani: Askari trafiki agongwa na kufariki

Chalinze, Pwani: Askari trafiki agongwa na kufariki

Herr
Ni neno la kiGerman linaloeleza mtu mwenye cheo fulani. Mtu huyo anakua ni mwanaume tu..
Mfano, Herr Strücker.

Btw nashangazwa na jinsi mnavyofurahia kifo cha Mwanadamu mwenzenu....🙄
Inasikitisha mpendwa mtu anafurahi kifo cha Mwanadamu mwenzie ni kweli Trafiki wasumbufu wapo na wazuri wapo sijawahi kusikia kesi ya Trafiki kuuwa dereva kwa nini kuwe na chuki ya kiwango hiki.
 
Herr
Ni neno la kiGerman linaloeleza mtu mwenye cheo fulani. Mtu huyo anakua ni mwanaume tu..
Mfano, Herr Strücker.

Btw nashangazwa na jinsi mnavyofurahia kifo cha Mwanadamu mwenzenu....🙄
Mimi na asprin tuna utani..hata hayo maneno nimeyaandika kiutanu...! Yasome tena na tena!
Mkuki kwa nguruwe eh! Wakifa kina mawazo ah hakuna shida..wafe wenu mnataka tuomboleze pamoja!
 
on 18 Sept 2020
Mabasi mbalimbali ya kionyesha ubabe katika njia za vumbi mkoa wa Kigoma nchini Tanzania
 
Hali halisi ya usalama barabarani ilivyo na wanavyoichukulia madereva

8 April 2021

"vita ya dar luxy DNX vs Ally's star na tungi's sio ya kitoto /Anapitwa Kama kasimama hiviii"!?​



 
Inasikitisha mpendwa mtu anafurahi kifo cha Mwanadamu mwenzie ni kweli Trafiki wasumbufu wapo na wazuri wapo sijawahi kusikia kesi ya Trafiki kuuwa dereva kwa nini kuwe na chuki ya kiwango hiki.
Stress za maisha wanakuja kumalizia mtandaoni
 
Madam nawe unafurahia kifo ? lakini Kama unafuata sheria huwezi kuwachukia askari traffic
Ukitaka usisumbuliwe Uwe na sifa zifuatazo:
Bima hai, taa zote Safi, tairi mma, funga mkanda, Uwe na fire extinguisher ambayo haijaexpire (maana wanazijua vizuri sana), Alana za kuonyesha una tatizo(reflectors), break Safi sana, heand-break mma, taa dim na full, indicators zote Safi.
 
Sawa....

Ila hapa sasa dah.. mimi sijawahi furahia kifo au mateso ya mtu. "Unaposema wakifa wenu" nashindwa kuelewa maana binaadamu wote ni sawa sidhani kama Utofauti wa Mitazamo unaweza pelekea mtu kufurahia baya la mwenzako. Siasa ni sia ila linapokuja swala la uhai na maisha we have to stick together kuulinda kama wanadamu tuliotoka kwenye asili moja!
Alipofyatuliwa mirisasi Lissu hata kumuombea mlitukataza! 😏
 
Ukitaka usisumbuliwe Uwe na sifa zifuatazo:
Bima hai, taa zote Safi, tairi mma, funga mkanda, Uwe na fire extinguisher ambayo haijaexpire (maana wanazijua vizuri sana), Alana za kuonyesha una tatizo(reflectors), break Safi sana, heand-break mma, taa dim na full, indicators zote Safi.
Hata uwe umekamilika wanakuambia madame /sir tuachie hata 2000 hatujala ..au nadanganya ndugu zangu?
 
Dah. Hiyo taarifa kama ni kweli! Dereva atapata tabu sana.
Moja ataminywa kende kwa koleo.
Mbili atakalia chupa akiwa uchi wa nyama.
Tatu atalala chumba chenye maji baridi.
Nne .....
Tano....

Ameua chombo cha dola.
Mbona huwa wanagongwa sana.

Kuna mmoja aligongwa msafara wa JK mataa ya Bamaga
 
Back
Top Bottom