Chalinze, Pwani: Askari trafiki agongwa na kufariki

Chalinze, Pwani: Askari trafiki agongwa na kufariki

Huo ni ujumbe wamezidi kila sehemu simama kisa wachukue rushwa, kula hatua wanasimamisha gari hadi wanaathiri muda wa safari sasa, njia nzima mnasimama kidogo trafiki hapana wamezidi
Duh! Kipande cha mlandizi hadi bwawani.. hawa dugu zetu wanatufanyiaga sana ukuda. Mungu ikimpendeza awagange moyo wafiwa na isipo mpendeza basi
 
Serikali nayo sasa ijikite kufunga Cameras barabarani na kuwa serious kwenye usimamizi wa sheria...Baadala ya Traffic kusimama hovyohovyo mabarabarani camera zifungwe zifanye kazi yake na kuwe na vituo maalum vya ukaguzi katika kila route za mabasi na malori....
 
Yani mpaka umeshindwa kuandika RIP.... dah!

Mwendazake aliwaruhusu wawe wanatuchanja hela ya kubrashia viatu, sasa wao wamejiongeza wanatuchanja mpaka za kuingilia gesti...
Siwezi aisee kusema rip...! Wanakuchota hela kwa lazima mno
 
Hawa traffic huwa wanadhani magari ni ndugu zao.any way RIP
Yani anaweza kutokea barabarani ghafla kukusimamisha... Wanadhani magari yanawaogopa naona...

Waweza kukuta gari la watu lilifeli breki, wao wanataka kumuuzia dereva kimeo
 
Hivi huwaga kuna haja gani ya kuandika dini na kabila katika utambulisho wa mtu katika matukio haya? Dini na kabila vinahusikaje na tukio kama hili?
 
Uendeshaji mabasi Tanzania
14 May 2019
Ona bus ya JM Luxury ikiitenda vibaya Bus ya Kisbo

 
Kama nilivyoipata FACE BOOK nami naileta nzima nzima.....RIP F.3936 CPL ABOUBAKARI s/o SALEHE MWINDADI.

"AJALI YA GARI KUMGONGA ASKARI NAKUSABABISHA KIFO :
(XX) MNAMO TAREHE 07/06/2021 MAJIRA YA SAA 08:29HRS HUKO MAENEO YA KIJIJI CHA BWAWANI KATA YA TUKAMISASA TARAFA YA MDAULA, BARABARA KUU YA DSM/ MOROGORO WILAYA YA KIPOLISI CHALINZE MKOA WA PWANI GARI NO. T. 681 DFX AINA YA YUTONG BUS MALI YA KAMPUNI YA KISBO SAFARI IKITOKEA DSM KUELEKEA KAHAMA IKIENDESHWA NA DEREVA IDDI s/o AYUBU@ KAGEMBE,46YRS,MUISLAM,MSUKUMA, MKAZI WA DSM ILIMGONGA ASKARI AKIWA KAZINI NO. F.3936 CPL ABOUBAKARI s/o SALEHE MWINDADI, 39YRS,MUISLAM, MSHIRAZI, ASKARI WA (K) MDAULA,MKAZI WA KIBAHA NA KUSABABISHA KIFO CHAKE (XX) MWILI WA MAREHEMU UMEHIFADHIWA HOSPITALI YA TUMBI KUSUBILI UCHUNGUZI WA DAKTARI (XX) DEREVA ALIYESABABISHA AJALI ANASHIKILIWA KITUO CHA POLISI CHALINZE KWA MAHOJIANO ZAIDI (XX) CHANZO CHA AJALI NI DEREVA KUENDESHA KWA MWENDOKASI NA KWA MAKUSUDI KUMFUATA ASKARI ALIPOSIMAMA NA KUMGONGA. KABLA YA KUMGONGA ALISIMAMISHWA MARA KADHAA POINT MBALIMBALI NA KUKAIDI AMRI (XX)"
Mwisho wa kunukuu.View attachment 1812477
Huyu jamaa kama kishawahi kukaa mataa ya urafiki mahakama ya ndizi
 
Huyu dereva ni mkatili ambae hakupaswa kupewa chombo cha moto. apewe adhabu inayomstahili
Hata kama mwendazake alitokea ghafla tokea wanakojificha kuvizia nagari?

Inaweza kuwa si sahihi sana kuhukumu kwa haki pasipo na kuyajua mazingira sahihi ya ajali.

Apumzike kwa amani mja huyu wa mola.
 
Back
Top Bottom