Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

Nadhani umeangalia mji wa Bukoba na baadhi ya mahoteli machache niliyokuwekea na uniambie Chalinze yako ina lipi la kujivunia na kuipita miji uliyotaja
Sijaona cha ajabu kwenye hizo picha.
 
Ndugu hizo takwimu ni za mwaka gani?

Takwimu za karibu kutoka TAMiSEMi inaonesha kuwa MTWARA umeupita Mji wa MOSHI kwa kukusanya Mapato, cha Ajabu MOSHI haipo kwenye List hiyo
 
Ni kweli mkuu.Njia ni muhimu Sana.Hapa elimu inabidi itolewe kwa winging kwa wananchi ili waelewe.Tatizo kinaanzia pale mtu anapouziwa kiwanja.Anayeuza kiwanja haachi njia kati ya kiwanja kimoja na kingine na anayenunua Wala Hilo haliwazi.Viongozi wa vijiji na vitongoji (baadhi yao) wanaosimamia HAYO Wala hawajali.
Elimu ni muhimu Sana kutolewa.
 
Ndugu hizo takwimu ni za mwaka gani?

Takwimu za karibu kutoka TAMiSEMi inaonesha kuwa MTWARA umeupita Mji wa MOSHI kwa kukusanya Mapato, cha Ajabu MOSHI haipo kwenye List hiyo
Kuwa serious basi,yaani unafananisha Mtwara na Moshi,ebu waombe wachaga msamahaa
 
Asante mkuu hujaona cha ajabu toka Bukoba. Nionyeshe cha ajabu toka Chalinze ili nikubaliane na wewe pamoja na wadau wengine humu
Nimekaa Bukoba miaka 2 miwili biashara zangu zilikufa zote,hakuna mzunguko wa fedha kabisa
 
Nimekaa Bukoba miaka 2 miwili biashara zangu zilikufa zote,hakuna mzunguko wa fedha kabisa
Kwa hiyo Chalinze Biashara imenawili. Labda ulifanya biashara kwenye competition kubwa na kwa sababu ni mgeni ukashindwa kuwin wateja, umekuja kimji kidogo lazima uonekane na biashara itawezekana
 
Chalinze kwa hovyo sana mtoa mada ni masikini wa fikra
Acha Mishe zako NA upuuzi wako Chalinze nayoijua Mimi iishinde Simiyu ambayo kimikoa kwa takwimu zilizotoka juzi inaongoza kwa mikoa
 
Ndugu hizo takwimu ni za mwaka gani?

Takwimu za karibu kutoka TAMiSEMi inaonesha kuwa MTWARA umeupita Mji wa MOSHI kwa kukusanya Mapato, cha Ajabu MOSHI haipo kwenye List hiyo
Kuwa serious basi,yaani unafananisha Mtwara na Moshi,ebu waombe wachaga msamahaa
Moshi huo mji umedumaa sana na ndo mana unapitwa na Mtwara
 
Mkuu kusoma sio tatizo. suala hapa huo usomi umesaidia nini Kagera yako? hata stand ni vumbi tupu sasa unawezaje kujisifia elimu hapa
Stand haijengwi na watu binafsi! Halafu hiyo stand ilibidi ijengwe ila sababu za kisiasa zilikwamisha huo mpango. Wasomi wana fanya maendeleo yao, wewe ingia mtaani au vijijini uone maendeleo ya mtu mmoja mmoja! BK nyumba ya udongo unaitafuta kwa torch, bati za kisasa. Karibu BK december hii wasomi tutakua likizo na ma prado yetu [emoji23]
 
Kwa hiyo Chalinze Biashara imenawili. Labda ulifanya biashara kwenye competition kubwa na kwa sababu ni mgeni ukashindwa kuwin wateja, umekuja kimji kidogo lazima uonekane na biashara itawezekana
Sio mimi tu wafanyabiashara wengi tuliokuwa nao Bukoba miaka hiyo walishakimbia,sababu kubwa hakuna mzunguko wa fedha.
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani

Nakupa dakika tano ( 5 ) tu zijazo naomba iondoe haraka sana Mikoa ya Mara na Mtwara ambayo naiona hapo kabla hayajakupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…