Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

Hivi we ulishawahi fika bukoba?
Nilishafika kwa kweli Bukoba panasikitisha sana wapo nyuma sana kimaendeleo,solution ni watu wa bukoba kukumbuka kuwekeza nyumbani
 
Reactions: apk
Kinachonifurahisha lindi na mtwara ni kujirusha full. Hakuna nyumba bado ni nyasiii. Ukiambiwa bilioni kadhaa zimezama humo huwezi elewa
 
Kinachonifurahisha lindi na mtwara ni kujirusha full. Hakuna nyumba bado ni nyasiii. Ukiambiwa bilioni kadhaa zimezama humo huwezi elewa
mnajitahidi ila bado hamjafikia viwango vya chalinze hasa kwa mzunguko wa fedha
 


Zile nyumba ni za kichawi, very strategic kwa wakazi wa Mbeya hawawezi kuzivunja hata iweje.
 
Kivipi, umeona Bukoba kulivyo hovyo? Huwezi kupigana miti na nduguyo ukawa na maendeleo, watu wazima inabidi wajipange sana kwani hali ile si Bukoba tu mjini bali hata huko mikoani. Biashara ni ziro kabisa.
Nenda kaone tena kulivyo ndio utanielewa
 
chalinze ya ndani kwa ndani ama hii hii tunayopitaga na magari yetu ya mikoani??
 
Mkuu kusoma sio tatizo. suala hapa huo usomi umesaidia nini Kagera yako? hata stand ni vumbi tupu sasa unawezaje kujisifia elimu hapa
Nadhani umeangalia mji wa Bukoba na baadhi ya mahoteli machache niliyokuwekea na uniambie Chalinze yako ina lipi la kujivunia na kuipita miji uliyotaja
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Ngoja wanyiramba waje wakutukane!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…