Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

😂 😂 😂 😂 siku hizi bangi Kama matembele tu. I Yaan chalinze uifananishe na makao makuu ya mikoa tajwa hapo juu, daah.

pale Chalinze si bush kabisa. kila siku napita pale, kijijini ndani kabisa
 
😂 😂 😂 😂 siku hizi bangi Kama matembele tu. I Yaan chalinze uifananishe na makao makuu ya mikoa tajwa hapo juu, daah.

pale Chalinze si bush kabisa. kila siku napita pale, kijijini ndani kabisa
Kumbe unapita tu ? Siku moja shuka utembelee viunga vya Chalinze ushuhudie uchumi imara wa Chalinze
 
Umemaanisha korogwe ya Tanga mkuu
 
Ety Mtwara, mtoa mada acha usenge hivi unaijua Mtwara wewe au unaisikia kwenye radio.. Au kwa7bu unasikika ni mkoa wa mpakani ndo unawaza kuwa ni duni..?
Kwanza kwa kitu gani Chalinze iizide GAS CITY..!! Chalinze hata nusu ya Mtwara haifikii..
Mtwara achananayo kabisa, labda ule mkoa pacha,, nikimaanisha Lindi ila si Mtwara.
 
Unaongea sehemu unazozifahamu Tu .tembea uone mkuu husisikilize maneno ya watu . bukoba haiko nyuma huseme watu wanawatukana wahaya maana walivyo kifedha na kiakili bukoba inabidi ifanane Dubai
Wahaya hawana pesa
 
chalinze hii hii ya
chamakweza
Vigwaza
buyuni
mbala
pingo
mdaula
msata
msoga
mboga
matipwilii
mionoo
ruvuu
hapanaa siafikii
maji tuu ya tabuu wakwavi wanaojiita wamasaii na wakwere wanashea maji na wanyama
hata miundo mbinuu hamna kituu
Chalinze pazuri labda ni hapo hapo njia pandaaa
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Unajua mambo mengine ni kama ya kwenye sinema au tamthilia, ona huyu naye sijui ametumia vigezo gani kufikia hitimisho hili! Wizara ya TAMISEMI wana vigezo na viwango vya kisayansi kufikia nini kiwe wapi na nini kiitew nini! Kwa vigezo hivyo, ndiyo maana Chalinze bado ni Mji Mdogo, siyi Mji! Haujafikia huko; zile fujo za magari na mlundikano wa watu siyo kigezo kimojawapo cha TAMISEMI!
 
Mkuu inaonekana umeishi chalinze na unaijua vema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…