Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

Hahaha! Chalinze hapohapo au kunachalinze nyingine?
Usipachukulie poa Chalinze,fedha inayoingia kwa siku moja ni nyingi mno inazidi hiyo mikoa kwa mbali sana
 
Takwimu zipo serikalini ofisi ya takwimu
Ungezichukua kwanza alafu unge onyesha walau kwa uchache ingekupa Credibility ya unachokisema lakini maneno matupu yenye Sura ya ushabiki ni ngumu kuaminika
 
Nilidhani umenielewa ,kuhusu sheria ya takwimu apa Tanzania
 
Toa mtwara weka njombe na ruvuma nitakuelewa
Mkuu umeshawahi kufika Njombe au unaisikia tu? kwa taarifa yako kwa sasa Wilaya ya Njombe ina halmashauri tatu za Makambako Mji, Njombe Mji na Wilaya Njombe (vijijini).

Mzunguko wa fedha ni mkubwa kwa sababu ya biashara za mbao, viazi na mahindi
 
Napafahamu vizuri Sana Ndio maana sikubabaika kuitia kwenye list
Mkuu umeshawahi kufika Njombe au unaisikia tu? kwa taarifa yako kwa sasa Wilaya ya Njombe ina halmashauri tatu za Makambako Mji, Njombe Mji na Wilaya Njombe (vijijini).

Mzunguko wa fedha ni mkubwa kwa sababu ya biashara za mbao, viazi na mahindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…