Sasa hapo ndio ulinganishe na Chalinze yake huyo jamaa. Labda kuna Chalinze iliyojificha mbali na ile tuionayo kila siku tukipita?Hivi ni mji gani ukiondoa majiji unaoweza kwenda na Kasi ya mji huu wa bukoba View attachment 948998View attachment 948999View attachment 949000View attachment 949001View attachment 949003View attachment 949004View attachment 949007
Kumbuka naongelea makao makuu ya mikoa sio mkoa mzima,mji kama Musoma umedumaa sana sawa na Mtwara.Kwa uzoefu wangu kwa Mara ungeniambia mji kama Tarime ndiyo kiuchumi kupo vizuri,lakini kwa Musoma hapana.Nakupa dakika tano ( 5 ) tu zijazo naomba iondoe haraka sana Mikoa ya Mara na Mtwara ambayo naiona hapo kabla hayajakupata.
Sasa iweje ujenge hotel ya kifahari halafu hakuna wateja.Yaani kwa mwezi hotel inaingiza laki 5sasa iyo ni biashara gani.Sasa hapo ndio ulinganishe na Chalinze yake huyo jamaa. Labda kuna Chalinze iliyojificha mbali na ile tuionayo kila siku tukipita?
Ingekuwa biashara hiyo wasingejenga. Wewe biashara yako ilibuma maana haikuwa na watejaSasa iweje ujenge hotel ya kifahari halafu hakuna wateja.Yaani kwa mwezi hotel inaingiza laki 5sasa iyo ni biashara gani.
Ila stendi ya bukoba bado sana.Stand haijengwi na watu binafsi! Halafu hiyo stand ilibidi ijengwe ila sababu za kisiasa zilikwamisha huo mpango. Wasomi wana fanya maendeleo yao, wewe ingia mtaani au vijijini uone maendeleo ya mtu mmoja mmoja! BK nyumba ya udongo unaitafuta kwa torch, bati za kisasa. Karibu BK december hii wasomi tutakua likizo na ma prado yetu [emoji23]
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoan
Inaizidi kwa lipi?
Wengine tuliponzwa na maneno ya watu,ya kwamba bukoba ni noma kwa biashara,niliyoyakuta ni tofauti na uhalisiaIngekuwa biashara hiyo wasingejenga. Wewe biashara yako ilibuma maana haikuwa na wateja
Chalinze ipi?Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Labda Chalinze ya KibaigwaChalinze hihii kwa wakwere ama kuna nyingine?
Chalinze ya mkoa wa PwaniChalinze ipi?
Ila stendi ya bukoba bado sana.
Kwa nini msifanye donation kwa serikali kusaidia kujenga hiyo stendi,kwani inaudhalisha mkoa.Stendi si ni kazi ya serikali .si unajua serikali inavyopatenga sehemu kama bk
Umeniudhi hapo kwenye bold! Hivi mungu wa dar anaweza kuamrisha chochote Chalinze na kikawa!? JokeKwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Mambo yalishapangwa na wengi lakini serikali ndo kikwazo kumbuka uwanja wa kaitaba Tu uliojengwa Kwa nyasi bandia ambao ulikuwa sponsored na wenyeji ukaishiwa kusema ni ukabila,je omkajunguti airport,meli mpya yote yalikuwa cancelled na serikali sasa stendi ndo balaa .Kwa nini msifanye donation kwa serikali kusaidia kujenga hiyo stendi,kwani inaudhalisha mkoa.
Mbona ipo no3Mleta mada hapo kwenye orodha yako ungeweka Lindi ningekuelewa