Chalinze hihii kwa wakwere ama kuna nyingine?Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kighoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
HiyohiyoChalinze hihii kwa wakwere ama kuna nyingine?
Siku nyingine ukitaka kuanzisha uzi hakikisha moshi wa zile sigara zenu mnazotengeneza wenyewe zimeishaHiyohiyo
Nime editNumber 2 Iko Nchi Gani
Siku nyingine ukitaka kuanzisha uzi hakikisha moshi wa zile sigara zenu mnazotengeneza wenyewe zimeisha
Pole kama jiwe gizani limehusikaAcha Mishe zako NA upuuzi wako Chalinze nayoijua Mimi iishinde Simiyu ambayo kimikoa kwa takwimu zilizotoka juzi inaongoza kwa mikoa
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Jiwe gizaniSiku nyingine ukitaka kuanzisha uzi hakikisha moshi wa zile sigara zenu mnazotengeneza wenyewe zimeisha
So freshSo what?
Factila JAMANI watanzania tuzingatie MIPANGO MIJI, hata chalinze iweje bila mipango miji ni takataka, sehemu nyingine ni MBEYA , MLIMA NYOKA, wenyeviti wa mitaa au madiwani waambieni watu au jipangeni kuacha nafasi ya baabara ! NYUMBA YAKO hata kama umepiga MSOUTH halafu hakuna njia ni kazi bure ! UONGOZI WA JIJI LA MBEYA LIFANYIENI KAZI SUALA LA MLIMA NYOKA, nyumba zinaota kama uoga halafu hakuna anaejali kuacha njia, uongozi jipangeni mtu akinunua aache njia mita 3.. JAMANI tuko kwenye zama na sisi tuonekani watu jamani.. hali kadhalika CHALINZE viongozi jitahidini sana kuancha nafasi za barabara hata kama serikali haijafanya. hii ni kwa faida yako mkazi na wala si faida ya serikali
ila JAMANI watanzania tuzingatie MIPANGO MIJI, hata chalinze iweje bila mipango miji ni takataka, sehemu nyingine ni MBEYA , MLIMA NYOKA, wenyeviti wa mitaa au madiwani waambieni watu au jipangeni kuacha nafasi ya baabara ! NYUMBA YAKO hata kama umepiga MSOUTH halafu hakuna njia ni kazi bure ! UONGOZI WA JIJI LA MBEYA LIFANYIENI KAZI SUALA LA MLIMA NYOKA, nyumba zinaota kama uoga halafu hakuna anaejali kuacha njia, uongozi jipangeni mtu akinunua aache njia mita 3.. JAMANI tuko kwenye zama na sisi tuonekani watu jamani.. hali kadhalika CHALINZE viongozi jitahidini sana kuancha nafasi za barabara hata kama serikali haijafanya. hii ni kwa faida yako mkazi na wala si faida ya serikali