Chalinze: ajali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chalinze: ajali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Crashwise, Oct 24, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kuna ajali mbaya imetokea hapa karibu na shule ya pigo chalinze imehusisha magari matatu gari moja limeharibika sana sijafanikia kujua waliokuwemo humo kama wame salimika na na eneo moja vijiji vitatu kabla ya mto wami kuna ajali ya malori mawili moja likiwa limebeba mafuta lakini cha ajabu kabisa baada ya ajali hiyo watu walianza kuchota mfta na hii ilikuwa inafanyika mbele ya polisi zaidi ya watano..watz hatujifunzi kutokana namakosa...
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  liwalo na liwe
   
 3. J

  John W. Mlacha Verified User

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  hao wanaochota mafuta ndio wana hatari zaidi
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hawa wa TZ hawakomi huwa yanawanguza sana hayo mafuta!
   
 5. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  PHP:
  Cha ajabu kabisa baada ya ajali hiyo watu walianza kuchota mfta na hii ilikuwa inafanyika mbele ya polisi zaidi ya watano..watz hatujifunzi kutokana namakosa...
  Kufa kufaana!
   
 6. Jangakuu

  Jangakuu JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Jaribu kutufahamisha zaid mkuu,majeruhi vip ?
   
 7. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Risk taking
   
 8. SWEEPER

  SWEEPER JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wajasiriamali hao
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Picha picha
   
Loading...