Chale zenu mwilini zinatutisha

Chale zenu mwilini zinatutisha

Duh!!....

Bhasi mkuu hukuwa na ny###ge kivile.

Mimi hata kama nikute demu katoka kujisaidia haja kubwa na hakujisafisha kunako 0713

Lazima nimule tu kishingo upande aiseee!!

Maana kichwa kidogo kikisimama kikubwa huwaga hakifanyi kazi kwa muda huo.

Nitajiraumu kwa badae ila mzigo nimekula.
Pole mkuu
Huwa unaramba mafiga?

Wacha huo mchezo kabisa
 
Mambo mengine yanaondoa kabisa akshki ya kushiriki tendo.
Yani unalivua limtu unakuta limejichanja chale kila kona mara kiunoni, mara kwenye mapaja, kwenye makalio, mgongoni, kifuani nk.
Mnatutisha aisee yani utadhani umekutana na shetani mtoto au kinyago cha kimakonde.
Nimekuja na mingunga yangu unaishia kunikata akshki na gharama kibao tayari nimeisha ingia.
Na wala hutoi tahadhari au ishara yeyote kwamba "jamani mwezako nina chale kibao mwilini"
Tafadhali sana aisee.
Aisee hata Mimi Nina chale kifuani hapa na karibu kwenye tumbo Tena ni kubwa balaa nilichanjagwa nikiwa mdogo sielawagi Ila enzi hizo kijijini kwetu Njombe huko ndani kulikuwa na wachawi wengi basi tulikuwa tunapelekwa Kwa waganga kujikinga . Ila nikiona demu ana chale nami nashtuka. Ila kwasasa am educated siyapendi na wala sipendi wadada wenye tabia za kwenda Kwa waganga balaa
 
Mi ndo mana sipendi kulala na wanawake hovyo hovyo...

mambo ya kutiana mikosi siyataki Sasa nyie okoteza pambaneni na mikosi hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom