much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,579
Mna bullets proof ?Tunampeleka kwao Zenji.
Mna bullets proof ?Tunampeleka kwao Zenji.
Utajua hapohapo, siyo kwamba kila siku ni Ijumaa.Mna bullets proof ?
Kila la kheri tutawaunga mkono mkiwa mmejipanga sio mtuingize kichwakichwaUtajua hapohapo, siyo kwamba kila siku ni Ijumaa.
Ndugu Chalaboy chuki na uchochezi chanzo ni kwa Mukuuu,Mo29 alimwaga kiwashio cha moto kwenye makaa ya mawe,na kwenye D9 amechanganya viwashio vya moto na vilipuzi vya aina zote penye moto wa gesi a.k.a kwenye ili nishati safi inayopigiwa mno debe.Sasa binafsi sielewi kwa mkorogo wote huo je ngozi itaambulia kansa ama moto utawaka au utazima!Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuna watu wanawajengea chuki Watanzania na nchi yao ambayo tumeona kuna athari zimejitokeza tena kwa vijana wadogo sana.
Albert Chalamila amezungumza hayo leo na Wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji #NIT
Yaani kachelewa sanaMwambie Muda umeisha December 9 zimebaki siku chache sana.. too late to apologise no one is ready to listen to your rubbish nonsense
Hatuna chuki na nchi yetu, bali tunachuki na viongozi wanaoingia madarakani bila ridhaa ya umma. Asitake kupotosha wakati ukweli unafahamika. Viongozi wezi wa kura wasijifanye wao ndio nchi yetu. Viongozi wanaotengeneza makundi ya watekaji na wafiraji hawawezi kutulazimisha tuwapende kwa kujivika koti la nchi.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuna watu wanawajengea chuki Watanzania na nchi yao ambayo tumeona kuna athari zimejitokeza tena kwa vijana wadogo sana.
Albert Chalamila amezungumza hayo leo na Wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji #NIT
No, chuki ya wananchi sio dhidi ya nchi yao. Chuki yao ni dhidi ya Serikali. Serikali ya CCM ndiyo imewajengea hiyo chuki.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuna watu wanawajengea chuki Watanzania na nchi yao ambayo tumeona kuna athari zimejitokeza tena kwa vijana wadogo sana.
Albert Chalamila amezungumza hayo leo na Wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji #NIT
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuna watu wanawajengea chuki Watanzania na nchi yao ambayo tumeona kuna athari zimejitokeza tena kwa vijana wadogo sana.
Albert Chalamila amezungumza hayo leo na Wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji #NIT