Hapo zishawafikia mapema sana ila kwa upande wa njia panda itokayo uwanja wa taifa vijana wa ajira portal ila walio chuo kishiriki cha elimu hapo DUCE bado taarifa hawana hivyo muda huu wapo kazini kama kawaida.
Sent from my SM-J410F using
JamiiForums mobile app