DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema Njia ya Kimara yatakuja mabasi 200, ukisema hatuitaki CCM haisaidii.
Albert Chalamila ameyasema hayo leo Oktoba 1, 2025 alipofanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam kujionea hali ilivyo kituoni hapo.