Aiseeee !!Nauna kiberiti ana chekesha nyani
Mwacheni apunguze stress, mnafuatilia mpaka kwenye ngedere!Nauna kiberiti ana chekesha nyani
View attachment 1818950
.Nauna kiberiti ana chekesha nyani
View attachment 1818950
🤣🤣Ngedere wenyewe awamwamini kabisa
Katibu mwenezi wa round hii amepooza kama mkojo wa asubuhiHuyu mchizi alitakiwa awe katibu mwenezi wa chama
Huyu mchizi ana amsha amsha ya nguvu, kama ni mpenzi wa yanga GSM wamchukue akamyamazishe ManaraKatibu mwenezi wa round hii amepooza kama mkojo wa asubuhi
Itakuwa kwa mkuu wa mkoa mwanza. Mwanza kwenye vilima kuna nyani sana.Eneo hilo haikatazwi kuwapa ngedere chakula sio?