Mshana Jr makumbuka nikiwa mdogo kama unakula ukidondosha tonge unaambiwa liwekee na mboga juu maana waliotangulia (ancestors) wameomba /wananjaa. Niliamini hivyo kama mtoto japo siku hizi naona kama ilikua tu uzushi