Ni kwa kupitia mada kama hizi ndio unaweza kuhawilisha kidogo kidogo...unagusa hapa unagusa pale lakini ukiwa na plan kamili ya kile unachofanya...you have to be very clear n settled upstairs la sivyo utaishia kupoteza lengo la mada husika na kuingia kwenye malumbano yasiyo na tijaNikweli lakini kwa mambo ya rohoni hawezi kueleweka na mtu hata kidogo ila unahitaji kubalance ili kuwaelewesha wa mwilini
Mchana mm nikisomaga nalala zako nakuelewa sana hasa ukigusia kuzimu na mambo ya rohoni binafsi nakuelewa sana nayafahamu hayo ila kama hyo do ni Yako basi nakufahamu kamandaNi kwa kupitia mada kama hizi ndio unaweza kuhawilisha kidogo kidogo...unagusa hapa unagusa pale lakini ukiwa na plan kamili ya kile unachofanya...you have to be very clear n settled upstairs la sivyo utaishia kupoteza lengo la mada husika na kuingia kwenye malumbano yasiyo na tija
MmhKuna video moja niliona jinsi soseji inavyotngenezwa wanyama waliokufa wanaingizwa ktk crusher akiwa na ngozi kwato na kila kilichomo!kiukweli ukiona hyo video huli tena soseji hadi nikashtuka ht binadam wanaokufa wakakosa ndugu wanaingizwa kwrnye soseji!nyama imesagwa kwani we utajua ya nn?!hata km ina lebo?!tahadhari sana na soseji hyo video tatupia hapa muone
Kujipenda kulikopitiliza ndio chanzo chamatatizo mengi, ukishajipenda ukapitiliza utajiona unastahili upikiwe mboga 12 akat unajua hutaweza kuzimiliza, chakula kikiwa na dosar ndogo tu utaamua ukimwage coz wew hustahili kula chenye dosari. Tunatakiwa tuwajenge watoto/ wetuUbinafsi choyo ulafi na kujipenda kulikopitiliza ni ibada za kishetani. ...
Hao hawana tofauti na kuua mwingine ili mambo yake yamwendee vema
Kujipenda kulikopitiliza ndio chanzo chamatatizo mengi, ukishajipenda ukapitiliza utajiona unastahili upikiwe mboga 12 akat unajua hutaweza kuzimiliza, chakula kikiwa na disar ndogo tu utaamua ukimwage coz wew hustahili kula chenye dosariUbinafsi choyo ulafi na kujipenda kulikopitiliza ni ibada za kishetani. ...
Hao hawana tofauti na kuua mwingine ili mambo yake yamwendee vema
Kujipenda kulikopitiliza ndio chanzo chamatatizo mengi, ukishajipenda ukapitiliza utajiona unastahili upikiwe mboga 12 akat unajua hutaweza kuzimiliza, chakula kikiwa na dosar ndogo tu utaamua ukimwage coz wew hustahili kula chenye dosari. Inatakiwa tuwajenge watoto/wapendwa wetu wawe humbleUbinafsi choyo ulafi na kujipenda kulikopitiliza ni ibada za kishetani. ...
Hao hawana tofauti na kuua mwingine ili mambo yake yamwendee vema
Sidhani kama huko huwa wanapiga stori zingne zaid ya vita na zana za kivita!tofauti na huku kwetu stori ni wanawake na bungeMmh nadhani ni mashariki ya kati
Daaah mmejazana halafu anagoma kula na hutaki kumpa mwingine lakin wew unaona hiyo baga bora ukatupe au ukale kwako wakat watu wanalala njaa pemben ya kitanda cha mgonjwa wako make it. ChangeSomo zuri mkuu,ukitaka kuona uzito wa somo hili uwe na mgonjwa pale muhimbili,unakuta nyie mmejaa kwa mgonjwa wenu na mafurushi ya vyakula,lakini pembeni kalala mgonjwa hana hata ndugu mmoja na hana hata uwezo wa kununua kikombe cha chai,hali hii huwa inaniumiza sana, Mwenyezi MUNGU na azidi kutukumbusha kuwa duniani tu wapitaji tu,tuwasaidie wahitaji.