Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Hio tikiti ya Mia tano usiku unaenda kulala na mwanamke,Si bao moja chaliii maana nguvu Hakunahizo egg chop labda nipike mwenyewe za kununua nehinehi
mihogo ya jero inanitosha 500
mchana ndizi 3 na mshika 1 2000
jioni tikitiki la 500

