paracetamol cna ila nimejaribu panadol tembe 2 ila kwa kweli imefanya kazi kama dkk 1 hv na maumivu yanaendelea vilevileParacetamol umekunywa?
Pole sana! Naskia wanawekaga panadol hapo kwenye jino inayouma ili kupooza maumivu. Ila kuna mtu alinambia njia inayosaidia kwa kiasi kikubwa kupoza pia maumivu ya jino ni kuchukua pamba na kuchovya kwenye mafuta ya karafuu then unaweka hiyo pamba hapo kwenye jino itasaidia sana!sorry kwa kuwa nje na topic yako,sasa hivi jino linanitesa hatari immedietly help for pains relief tafadhali!
Sent using Jamii Forums mobile app
ni hivi ambavyo vina shape kama ya hedex na viko packed kimoja kimoja cja note uzito mkuuKidonge kimoja kina uzito gani? Unaweza kunywa tena mbili baada ya masaa manne
thanks,ngoja nijaribu kuweka hii panadol kama ulivyoelekezaPole sana! Naskia wanawekaga panadol hapo kwenye jino inayouma ili kupooza maumivu. Ila kuna mtu alinambia njia inayosaidia kwa kiasi kikubwa kupoza pia maumivu ya jino ni kuchukua pamba na kuchovya kwenye mafuta ya karafuu then unaweka hiyo pamba hapo kwenye jino itasaidia sana!
Ila fikiria pia kuhusu kulitoa hilo jino maana mimi huwa naona that's the best option!
Sent using Jamii Forums mobile app
kitu ambacho cjakielewa ni kwanini dawa imefanya kazi kwa dkk chache hivyoWanaandika vinakuwa 500mg
kama kuna dawa nyingine unaweza kuniambia huenda wenyeji wangu wakawa na akibaSasa hivi utanunua dawa wapi? Hiyo haiku respond to your pains because is not strong enough.
Paracetamol with codainekama kuna dawa nyingine unaweza kuniambia huenda wenyeji wangu wakawa na akiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mate cabbage utapumua hewa chafu mwanzo mwisho lakini it works.Hasa kwa wale wenye excess body fatty, unataka kuiacha ipungue kwa metabolic process naturally. Kula cabbage au cauliflower kama main meal. Unaweza kuweka nyama au samaki juu yake kama mboga ya kulia.
View attachment 1072630
Cabbage inalikata vipande vidogo sana, kama una mashing ya kukatia ni bonus. Ukisha kata steam cabbage, weka kwenye sahani.
Kama huna steamer, chemsha maji na chumvi kidogo, maji yakiwa yanachemka kwenye sufuria iliyojaa, weka cabbage kwa dakika tano tu, litoe uchuje na kuweka kwenye sahani.
View attachment 1072631
Cauliflower unaweza kukatwa kwenye food processor. Kama huna kisukari na kibao vinaweza kufanya kazi.
Pika kwa njia ile ile ya cabbage.
Cabbage ni nzuri kwa bodi day vya tumbo. Cauliflower na cabbage vyote ni vizuri kwa diabetes hasa type II.
View attachment 1072640
cjakupata vyema ina maana ni paracetamol ndio inahiyo codaine au ni tembe 2 separateParacetamol with codaine
Pia linasafisha utumbo mate, hii hewa Cafu ukiwa kazini ndiyo shida.Mate cabbage utapumua hewa chafu mwanzo mwisho lakini it works.
Pia linasafisha utumbo mate, hii hewa Cafu ukiwa kazini ndiyo shida.
I like it when I do my morning walk in the park, I just look who is behind me when there is no one it means freedom [emoji1491]