Chakula kipi una mzio nacho au haupendi kula kabisa

Mkuu
Habari za Usiku wakuu..

Aisee mimi chakula ambacho sina allergy nacho ila kiukweli Hata upike Vipi Hauwezi kula kabisa kwa Upande wangu mimi ni BAMIA NA NYANYA CHUNGU..Vyovyote utakapopika mimi sitaweza kula na sijajua sababu ni ipi..


Je ni chakula Gani Hauwezi kula kabisa na wala kuonja kabisa !!?
Chips Kuku.,aisee mm sipendi kabisa,,
Nawashangaa sn mnaokimbilia chakula hiki..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom