robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 3,142
- 3,337
looh! ndugu we utakuwa mwinjilist au paroko kabisa. sio kwa hitimisho hilo.Bujibuji biblia imeandikwa zawadi hufungua moyo.
Hii inamaana kuwa ukikunjua mikono yako kwa namna yyte ile lazima itapokea baraka tuu. Ukimlisha mhitaj ujue na wewe utapokea na uzuri utapokea zaidi ya kile ulichokuwa unahitaj ama.kile kile.
Kwa kulijua hilo na huu msimu wa siku kuu hebu Fanya maarifa ya kapu la sikukuu kwangu. Japo tunanasi na tuembe. Tumchele kidogo na tunyama. Uone jinsi milango ya baraka itakavyo funguka kwako
HahahahahaKweli kabisa mkuu, ila kwa mademu wa leo anaweza akufirisi, unakuta demu anakata tonge kama kazaliwa mashine, na akipata ofa kali yupo ladh kuhifadh chakula hata kwenye tumbo la uzazi, yan unageuzwa kua Min Hotel bila kujijua.
Kwangu binafsi mojawapo ya sifa kuu kwa mwanamke ni kujua kupika.Wanaume tunapenda tupate wanawake wanaojua kupika.
ungeazia kwangu ingependeza zaidiMashallah
njaa kitu kingine waweaza kufanya jambo la aibu la fedheha ili utulize njaa baadae hujikuta uko hewani mweeeee njaaaa kibokoNa njaa huuza Utu wetu.
Esau aliuza haki yake ya uzaliwa wa Kwanza alipokuwa na njaa. Njaa ni mbaya sana, yaweza kukupeleka utumwani kama ilivyowapeleka wa Israel utumwani Misri kwa miaka 400
Haswaaaaaaa....!!Wanaume tunapenda tupate wanawake wanaojua kupika.
Haswaaaaaaa.....!!!Kwangu binafsi mojawapo ya sifa kuu kwa mwanamke ni kujua kupika.
umeona ehhhhnjaa kitu kingine waweaza kufanya jambo la aibu la fedheha ili utulize njaa baadae hujikuta uko hewani mweeeee njaaaa kiboko
kweli kabisaNi kweli. Njaa ni mbaya kama huna chakula au pesa.
Ila ukiwa na njaa harafu ukatengewa chakula unachopenda waweza jiuma ulimi.
kwani uongo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bujibuji kuna mtu umesahau kumcopy!!no comment
JoseverestBujibuji kuna mtu umesahau kumcopy!!
Mkamia maji hayanywiUtamu wa chakula ule ukiwa na njaa.