King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
hahaha, kaugonjwa kakubwa? mnasingizia eeh, haya banaa. kwanza death certificate ya mke mwee ulishaiona hata kwa whatsup? usije ukafanya maamuzi magumu bwana
hehehe, sasa mie nimenunua sefuria, ndizi nimeleta kwa nauli kutoka mndenyi, nitaweka na siagi, nimenunua maharagwe! yeye gesi tu jamani, khaaa! mwanaume kuchunwa!
kakaka afu ni kiumbo ama kyumbo?
Yaani kupika kiburu hapa mjini yataka uwe na moyo wa ziada;
hongera zako, ila angalia magadi yayeyushe vizuri wanasema
vumbi lake linaleta kale kaugonjwa kakubwa.
hehehe, sasa mie nimenunua sefuria, ndizi nimeleta kwa nauli kutoka mndenyi, nitaweka na siagi, nimenunua maharagwe! yeye gesi tu jamani, khaaa! mwanaume kuchunwa!
Gesi yenyewe ni zaidi ya nusu laki, uchemshie maharage.
kakaka afu ni kiumbo ama kyumbo?
Ha ha ha haaa
haaaa, hilo jina sijalitamka miaka mingi sana,
asante kwa kunirejesha kanyi.