Nyendo JF-Expert Member Joined Jun 4, 2017 Posts 1,361 Reaction score 4,816 Jun 7, 2021 #1 Habari wadau, Chakula gani hujala kwa muda mrefu na umekikumbuka sana. Mimi nimekumbuka makande nayapenda sana ila muda wa kuyapika ndio unakiwa changamoto. Ila wiki hii nitajitahidi nipike makande ya karanga. Wewe umekumbuka chakula gani?
Habari wadau, Chakula gani hujala kwa muda mrefu na umekikumbuka sana. Mimi nimekumbuka makande nayapenda sana ila muda wa kuyapika ndio unakiwa changamoto. Ila wiki hii nitajitahidi nipike makande ya karanga. Wewe umekumbuka chakula gani?
Mlundilwa Jr JF-Expert Member Joined Dec 11, 2019 Posts 3,413 Reaction score 5,318 Jun 7, 2021 #2 Maboga na mbegu zake, yaani ni muda mrefu sana sijala.
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,795 Reaction score 55,573 Jun 7, 2021 #3 Mihogo na viazi vitamu
Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,927 Jun 7, 2021 #4 Wali Pilau Chipsi yai Samaki wa kupikwa/ kukaanga Kitimoto Kuku/Bata Viazi vitamu/mihogo Mchicha/sukuma/Chinese Maharage NB: vipo vingi sana ila kwa ujumla nimemiss hivyo sijala siku nyingi!?
Wali Pilau Chipsi yai Samaki wa kupikwa/ kukaanga Kitimoto Kuku/Bata Viazi vitamu/mihogo Mchicha/sukuma/Chinese Maharage NB: vipo vingi sana ila kwa ujumla nimemiss hivyo sijala siku nyingi!?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,779 Reaction score 86,474 Jun 7, 2021 #5 Ugali wa udaga bila kuchanganywa na unga wowote. Nswalu,Bata watasema jina la bomu hili..! Maboga Nyongeza chipupa.😎
Ugali wa udaga bila kuchanganywa na unga wowote. Nswalu,Bata watasema jina la bomu hili..! Maboga Nyongeza chipupa.😎
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,564 Jun 7, 2021 #6 Ugali wa uwele au mtama + mlenda + maziwa( original yaliyotingishwa kwenye kibuyu )
G Goguryeo JF-Expert Member Joined May 17, 2019 Posts 3,120 Reaction score 5,873 Jun 7, 2021 #7 Daynamo said: Wali Pilau Chipsi yai Samaki wa kupikwa/ kukaanga... Click to expand... Mkuu Kwa hiyo umepiga full suit ya ugali hadi sio poa....🤣🤣🤣🙌
Daynamo said: Wali Pilau Chipsi yai Samaki wa kupikwa/ kukaanga... Click to expand... Mkuu Kwa hiyo umepiga full suit ya ugali hadi sio poa....🤣🤣🤣🙌
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jun 7, 2021 #8 Goguryeo said: Mkuu Kwa hiyo umepiga full suit ya ugali hadi sio poa.... Click to expand... Au itakuwa haishi Bongo huyu
Goguryeo said: Mkuu Kwa hiyo umepiga full suit ya ugali hadi sio poa.... Click to expand... Au itakuwa haishi Bongo huyu
That Gentleman JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,227 Reaction score 3,708 Jun 7, 2021 #9 KENZY said: Ugali wa udaga bila kuchanganywa na unga wowote... Click to expand... Ungekuwa huku bush kwetu ningekupatia mswalu + karanga ukajilia na ugali wako wa udaga safi...
KENZY said: Ugali wa udaga bila kuchanganywa na unga wowote... Click to expand... Ungekuwa huku bush kwetu ningekupatia mswalu + karanga ukajilia na ugali wako wa udaga safi...
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,170 Jun 7, 2021 #10 Ugali wa dona na magimbi, nimevimiss sana😋
Nyendo JF-Expert Member Joined Jun 4, 2017 Posts 1,361 Reaction score 4,816 Jun 7, 2021 Thread starter #11 KENZY said: Ugali wa udaga bila kuchanganywa na unga wowote. Nswalu,Bata watasema jina la bomu hili..! Maboga Nyongeza chipupa. Click to expand... Yaani mkuu umenikumbusha nswalu jamani hii mboga tamu balaa, ugali unaenda wenyewe tu. Nahisi utakuwa wa kwetu wewe
KENZY said: Ugali wa udaga bila kuchanganywa na unga wowote. Nswalu,Bata watasema jina la bomu hili..! Maboga Nyongeza chipupa. Click to expand... Yaani mkuu umenikumbusha nswalu jamani hii mboga tamu balaa, ugali unaenda wenyewe tu. Nahisi utakuwa wa kwetu wewe
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,561 Reaction score 16,339 Jun 7, 2021 #12 PAPUCHI
Carleen JF-Expert Member Joined Nov 6, 2018 Posts 8,407 Reaction score 28,838 Jun 7, 2021 #13 Planett said: PAPUCHI Click to expand... Hilo ni tunda, taja chakula..!!
medisonmuta JF-Expert Member Joined Oct 10, 2014 Posts 2,442 Reaction score 1,527 Jun 7, 2021 #14 Mseto pamoja na mchuzi wa papa.
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,476 Reaction score 16,187 Jun 7, 2021 #15 Nyendo said: Habari wadau, Chakula gani hujala kwa muda mrefu na umekikumbuka sana. Mimi nimekumbuka makande nayapenda sana ila muda wa kuyapika ndio unakiwa changamoto. Ila wiki hii nitajitahidi nipike makende ya karanga. Wewe umekumbuka chakula gani? Click to expand... Maboga ya maharage yaliyochanganywa na karanga/nazi/maziwa. Yaani ukupiga na ugali sipo poa pembeni kuwe na samaki wa kupwaza ni hatare kubwa!!
Nyendo said: Habari wadau, Chakula gani hujala kwa muda mrefu na umekikumbuka sana. Mimi nimekumbuka makande nayapenda sana ila muda wa kuyapika ndio unakiwa changamoto. Ila wiki hii nitajitahidi nipike makende ya karanga. Wewe umekumbuka chakula gani? Click to expand... Maboga ya maharage yaliyochanganywa na karanga/nazi/maziwa. Yaani ukupiga na ugali sipo poa pembeni kuwe na samaki wa kupwaza ni hatare kubwa!!
Lyetu JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 1,333 Reaction score 3,541 Jun 7, 2021 #16 Ndizi fulani hivi sizijui jina ila ni fupi nene zinachemshwa
Mlezi wa wana Member Joined Apr 13, 2021 Posts 78 Reaction score 224 Jun 7, 2021 #17 Huku niliko kume nitenganisha ná Kilo mmoja na ndizi mbili na Serengeti baridi
Aladeen04 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 3,577 Reaction score 5,780 Jun 7, 2021 #18 Ile chakula inayomesana na mwensieee aiseee, siku nikiiiifumaaaa walaaaaahii🤪🤪🤪
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,121 Reaction score 14,032 Jun 9, 2021 #19 Lenie said: Ugali wa dona na magimbi, nimevimiss sana😋 Click to expand... Dona na mboga gani?
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,141 Reaction score 43,366 Jun 9, 2021 #20 Astana said: Wali Pilau Chipsi yai Samaki wa kupikwa/ kukaanga Kitimoto Kuku/Bata Viazi vitamu/mihogo Mchicha/sukuma/Chinese Maharage NB: vipo vingi sana ila kwa ujumla nimemiss hivyo sijala siku nyingi!? Click to expand... Unaishi wapi mkuu hata wali maharage haupatikani?
Astana said: Wali Pilau Chipsi yai Samaki wa kupikwa/ kukaanga Kitimoto Kuku/Bata Viazi vitamu/mihogo Mchicha/sukuma/Chinese Maharage NB: vipo vingi sana ila kwa ujumla nimemiss hivyo sijala siku nyingi!? Click to expand... Unaishi wapi mkuu hata wali maharage haupatikani?