Chakula Gani? Ambacho hujawai kukila

Chakula Gani? Ambacho hujawai kukila

Thingis

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
3,888
Reaction score
5,982
Habari za wakati huu wakuu!? Wazima wote jamaa ndugu na marafiki, kwa mwenye changamoto yoyote ya kiafya basi MWENYEZI MUNGU AMSAIDIE,,, wakuu nimeandika kichwa cha.uzi tofauti na mada hapa lakini wakuu nilikuwa naomba kiasi chochote nikale wakuu kama haitakuwa shida wakuu nimeomba sanašŸ™šŸ˜”
 
Wi-fi mkuu
Tutaamini vipi unaenda kula na sio kubeti?
IMG-20250915-WA0332.jpg
 
We pia huna uhakika mkuu humu ndani hakuna limit ya kuingia katika majukwaa mengine na kupost chochote kile
Nataka nijue nikituma kama utaenda kula kweli na sio kubeti , kupost chochote sijazungumzia hilo
 
Kama haitakua shida nikujibu kulingana na kichwa cha uzi na siyo mada. Kiukweli nimekula vyakula vingi sana hadi madudu ya wachina. Kuhusu njaa, hakuna makanisa jirani yako hapo ukaombe msaada, watumishi wa mungu ni wakarmu sana, achana na JF tumejaa wachawi, wanafiki na makosongo...
 
Back
Top Bottom