Duuh hiyo mesi ya 2 na 3 ndo mpango mzima. Mbuzi Mzee weshakupeleka uhindini, hiyo yenye mapelepele menu lazima uweke fire extinguisher ukienda chooni.
Yesu yangu, hapa nimefika...ndizi nyama mamawee!! iko penda sana hii msosi
Mambo niaje best....hope uko poa.
Yaani best kwa choice hiyo wewe utakua either ni Mchaga, Mhaya au Mnyakyusa maana hao raia kwa hiyo menu ndio wenyewe...
Mnapenda kujipendela, mbona senene na mlenda hapana?
Powa kabisa rafiki..vp wewe? naamini wewe umeanza wikend salama!!
Mie kaskazini besti..ha ha..!!
hilo pilau ni hatare tupu yaani ndio nimemaliza kula sasa hivi..