Chakula Cha Mtoto Pia Chakula Cha Baba

Hivi wababa huwa wananyonya maziwa ya wake zao ambao wananyonyesha?? Maziwa huwa hayatoki? And how do they feel maziwa ya mama yanapoingia vinywani mwao?
Wanaume huwa tunanenepa sana kipindi hiki, km nyama mbichi tunakula(kwenda chumvini), yatatushinda maziwa? Mtoto huwa ananunuliwa ya kopo af mnazuga maziwa hayatoki kumbe dingi unamaliza yote. Eti tunanyonya kwakuwa tumesikia yanaleta akiri sana kwa mtoto, hvo tunataka kupata akiri ya kutafuta pesa
au km unasoma basi usipate Sup.
 

Ha Ha Ha
 

True dat
 

yaani wewe umenichekesha mnoo aghh ! mangelengele
 
Last edited by a moderator:
lazma mzee atumie busara...utasikia ucwaze mwanang kuna mdudu namtoa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…