Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
Kama ni kweli hili lilitokea Igunga, then sukari hiyo ilitolewa na msamaria mwema mwenye mapenzi ya dhati na wanaIgunga ili angalau nao waonje japo chai ya siku moja ili ule uji wa chumvi nao upumzike kwa sababu, sukari sio moja ya vyakula kwenye hifadhi za taifa, kule ni nafaka pekee!.Igunga walipeleka sukari, wakati huo nchi ikiwa kwenye crisis kubwa ya sukari, wanaIgunga wakadanganyika, wakauza utu wao in exchange of sukari...huh!
Pasco,Sorry Mkuu Mzee Mwanakijiji, I don't belive this!. Hifadhi ya chakula kwenye NFRA inatawaliwa na taratibu sheria na kanuni na sio utashi.
Zipo sheria, taratibu na kanuni zinazotowala utoaji wa chakula kwenye hifadhi hiyo hivyo siamini kuwa kesho chakula hicho kitatolewa kugawiwa Arumeru!.
Kufuatia joto la uchaguzi huu wa Arumeru kupanda sana, tutegemee all sort of conspiracy theories zikiwa fornulated ila sio zote za kuziamini, na hii ni moja ya hizo ambazo normal logic inanikataza kabisa nisiziamini kabisa, unless otherwise kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa ilishatoa taarifa ya kuwepo kwa janga la njaa na amiri jeshi mkuu akaridhia Arumeru kuna hali ya hatari kiasi kwamba chakula cha msaada kisipogawiwa by Jumamosi, Jumapili watu wote wa Arumeru watakutwa wamekufa!.
Si msamaria..ni serikali!Kama ni kweli hili lilitokea Igunga, then sukari hiyo ilitolewa na msamaria mwema mwenye mapenzi ya dhati na wanaIgunga ili angalau nao waonje japo chai ya siku moja ili ule uji wa chumvi nao upumzike kwa sababu, sukari sio moja ya vyakula kwenye hifadhi za taifa, kule ni nafaka pekee!.
Sorry Mkuu Mzee Mwanakijiji, I don't belive this!. Hifadhi ya chakula kwenye NFRA inatawaliwa na taratibu sheria na kanuni na sio utashi.
Zipo sheria, taratibu na kanuni zinazotowala utoaji wa chakula kwenye hifadhi hiyo hivyo siamini kuwa kesho chakula hicho kitatolewa kugawiwa Arumeru!.
Kufuatia joto la uchaguzi huu wa Arumeru kupanda sana, tutegemee all sort of conspiracy theories zikiwa fornulated ila sio zote za kuziamini, na hii ni moja ya hizo ambazo normal logic inanikataza kabisa nisiziamini kabisa, unless otherwise kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa ilishatoa taarifa ya kuwepo kwa janga la njaa na amiri jeshi mkuu akaridhia Arumeru kuna hali ya hatari kiasi kwamba chakula cha msaada kisipogawiwa by Jumamosi, Jumapili watu wote wa Arumeru watakutwa wamekufa!.
Sorry Mkuu Mzee Mwanakijiji, I don't belive this!. Hifadhi ya chakula kwenye NFRA inatawaliwa na taratibu sheria na kanuni na sio utashi.
Zipo sheria, taratibu na kanuni zinazotowala utoaji wa chakula kwenye hifadhi hiyo hivyo siamini kuwa kesho chakula hicho kitatolewa kugawiwa Arumeru!.
Kufuatia joto la uchaguzi huu wa Arumeru kupanda sana, tutegemee all sort of conspiracy theories zikiwa fornulated ila sio zote za kuziamini, na hii ni moja ya hizo ambazo normal logic inanikataza kabisa nisiziamini kabisa, unless otherwise kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa ilishatoa taarifa ya kuwepo kwa janga la njaa na amiri jeshi mkuu akaridhia Arumeru kuna hali ya hatari kiasi kwamba chakula cha msaada kisipogawiwa by Jumamosi, Jumapili watu wote wa Arumeru watakutwa wamekufa!.
Mkuu Pasco, mimi concern yangu ni hiyo ya sheria,kanuni na taratibu!Pasco;3591780]Sorry Mkuu Mzee Mwanakijiji, I don't belive this!. Hifadhi ya chakula kwenye NFRA inatawaliwa na taratibu sheria na kanuni na sio utashi.
Zipo sheria, taratibu na kanuni zinazotowala utoaji wa chakula kwenye hifadhi hiyo hivyo siamini kuwa kesho chakula hicho kitatolewa kugawiwa Arumeru!.
Kwenye jamii ya wajinga kama Wamasai hawa lolote linaweza kutokea na wala lisiwashangaze, hawa Edward Lowasa anawajuwa wanavyopenda nyama.