Chakula cha mchana,karibuni wana JF!

ukiwa unakuwa unanuna hivi na kukasirika. Unagomambana na mtu?
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Jinsi alivyokaa hilo sinia linaisha
 
Nafasi ya soda ipo na nyongeza juu ..hicho ni cha mtoto
 
Hivi utamshawishi vipi MTU akubali Tanzania kuna Njaa, MTU chakula cha jumuiya anakula peke yakee

√√Ukiona mtoto wako hapendi shule mpende wa jirani yako
 
Kuna wanaume wanakula mpaka unaona raha. Una jaribu na menu tofauti.

Ila huyu bwana huyu. Utakesha jikoni na hashibi ng'oooo.
 
Baada ya kazi ni kula sasa mwanaume wa Dar ale chakula hicho kwa kazi gani kushindana na dada zao kupaka mikorogo ama?
 
hapo akinya si kama kanya tembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…