Chakula Asili

Umenikumbusha mbali, huwa yanapikwa pamoja na juu yake hufunikwa kwa majan ya maboga kisha ufuniko wa chuma hufuata.
 
Dah hii kwetu tunaita elyungu na ifilombe
 
Umenikumbusha mbali, huwa yanapikwa pamoja na juu yake hufunikwa kwa majan ya maboga kisha ufuniko wa chuma hufuata.
utakua msambaa wewe
 
Ndio maana wazee wetu walizeeka na afya zao sisi tunakomalia BAKHRESA FOOD
 
Hii nimekula pasaka nilipoenda kumsalimia Bibi, ndio ilikuwa breakfast.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…