Chakachua ya mafuta! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chakachua ya mafuta!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chacha wa Mwita, Jul 10, 2010.

 1. Chacha wa Mwita

  Chacha wa Mwita Senior Member

  #1
  Jul 10, 2010
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 166
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kuna habari kwenye gazeti la mtanzania ukurasa wa tatu kuhusu kufungiwa kwa vituo vya mafuta vinavyo milikiwa na mbunge wetu wa Musoma mjini, kwa sababu ya uchakachuaji! Hii inamaanisha nini endapo mradi huu unamilikiwa na mtunga sheria/mwakilishi wetu??
   
 2. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wizi wa kawaida tu uliojaa ndani ya waheshimiwa
  ndo maana rahisi
   
 3. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Eh, kwani yeye ndo hapendi pesa....
   
 4. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Pepo Shindwa
   
Loading...