Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,273
sasa sweetie!
Nimekuja my love!
Afu shuka la leo zuri!
Na gauni laini yani....
Aah acha kunibania.. My
Mmm! Af wamoto kweli..
Sweetie wangu.. AD
Sikupendi siku hizi...
Mzee naona umeingia na gear zote~ya mchanga na ya tope zote umezikoleza kwa mpigo!.
Habari wana JF .. 😛oa
Jamani is it me ama jamvini kumepoa saana mida hii??
Sina hata topic hapa... Akili haijakaa ki-serious....
Sijachoka... Sina usingizi... Sina movie mpya ya kuangalia..:A S embarassed:
Hivo sina ujanja... Please alonayo leta story/umbea/topic
yoyote ile tu-chat.
Take note: Story/umbea/topic yaweza badilika yeyote aweza
leta yake or akajiunga kwa iliyopo tayari....
P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe .(ADI)
"Shoot"
MAKUBWA!! Hapa vigezo na masharti havijazingatiwa kabisa!!! lol
nipende bwana, jamani nipende mwenzio. Aiii wewee.
~Wow!.I am sorry... didn't know that that lady you call your Boss is indeed the Boss of your parts.....lol
Mimi je?? Kwanza nilikuona kivingine ujue.... lol... Vipi umeniletea nini toka porini??
He he he, that was a good one!......lol... Kumbe nawe ni commited mshabikiaji kama mimi mwenyewe?? lol
Basi ni PakaJimmy!hata hayupo hapo anti.