jamani wewe rudi bana.
Jamani naomba usikimbie bana! Mbona msusaji hivo??
usiondoke bana.....unajua unanliza mwenzio.....
kwani huko UEFA ni nani anacheza....?
Mbona nilikushtukia!!! lol... mimi naanza penda wewe pia....
Mbona nimesisimuka mwenzio!! Loh!
Jamani kidume nilikuwa mwenyewe, mbona mnataka kunibania hivyo.
Jamani kidume nilikuwa mwenyewe, mbona mnataka kunibania hivyo. Loh!
wenzio hawa hapa.....
There are currently 13 users browsing this thread. (9 members and 4 guests)
Preta mbona hivyo!! unazidi kunitia machungu!!
wenzio hawa hapa.....
There are currently 13 users browsing this thread. (9 members and 4 guests)
AshaDii, Husninyo
Jamani niunganishieni preta, nahisi kama ...........
Hiyo sasa fujo.....mbona twaumbuana?.
AshaDii, Husninyo
Jamani niunganishieni preta, nahisi kama ...........
Hiyo sasa fujo.....mbona twaumbuana?.
Mwita25 sijui kwanini siku hizi ananiogopa, kazi yake kuchungulia na kusepa! lol
Mie sipendi mauchokozi yako...ntakusemea kwa nanino!.ndio muingie ndani....sio mnachungulia....